Baada KDF kushindwa Congo na wacongo wakaamua kuwaondoa sasa jeshi la polisi la Kenya limeishindwa Haiti kabisa, mitaa haikaliki, shule zinafungwa, hospitali zimejaa wahanga wa vurugu na kuzidiwa idadi.
Leo baraza la usalama la umoja wa mataifa linajadili kutafuta askari wengine kutoka nchi...