jeshi la kujenga taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) labaini uwepo wa vyeti feki, vijana waonywa

    Jeshi la kujenga Taifa (JKT) limebaini uwepo wa vyeti vya kughushi vinavyotumika na baadhi ya vijana ambao siyo waaminifu kwa lengo la kujipatia ajira katika taasisi na makampuni yanayohitaji watendaji kupitia mafunzo ya jeshi hilo na kusema kitendo hicho ni kosa watakaobainika watachukuliwa...
  2. Waufukweni

    Pre GE2025 Hashim Rungwe: Kama wanajeshi wanapata chakula, wanafunzi wapewe pia

    Hashim Rungwe Spunda, Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Taifa kuhusu Jeshi la kujenga Taifa (JKT) kupata chakula na huku akiona hakuna umuhimu wakuwa na Jeshi hilo na akipendekeza pia Wanafunzi wapewe chakula.
  3. Ojuolegbha

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), tarehe 02 Oktoba 2024, amekabidhiwa Jezi ya Mashujaa FC.

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), tarehe 02 Oktoba 2024, amekabidhiwa Jezi ya Timu ya Mpira wa Miguu ya Jeshi la Ulinzi wa Wananchi Tanzania, maarufu kama Mashujaa.
  4. PLATO_

    Jeshi la kujenga taifa JKT litutumie Vijana kwa maslahi ya jamii zetu

    Siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa sana la vijana wanaopenda kujiunga na jeshi la kujenga taifa hasa wale wa mujibu wa sheria huwa wanajaa mno. Ijapo kuwa jeshi hili halitoi ajira, lakini vijana wengi huwa wanapenda kuomba nafasi za kujitolea ili mradi tu watimize ndoto zao na wengine huamini...
  5. Chakaza

    JWTZ mmetulinda vizuri dhidi ya maadui wa nje, sasa tuna maadui wa ndani wanaopaswa kuchukuliwa hatua

    Sio siri kuwa JWTZ inafanya kazi inayotukuka kweli kweli. Maadui wa nje hawafanyi chokochoko tena katika mipaka yetu. Lakini sasa kuna adui wa ndani ya nchi anateka watu, anawatesa na kuwaua apendavyo. Kuna faida gani mlinzi yuko getini tuu kuzuia azure wa nje wasiingie lakini kama yuko aliyeko...
  6. G

    Benefiti za alie na masters katika jeshi la kujenga taifa

    Za sahizi ndugu zanguni... Nina rafiki yangu kamaliza masters ya sheria (LLM) na kaisha pita law school in short ni advocate kwa sasa ana miaka 29 Anahitaji kujiunga na jeshi la polisi either magereza,ffu,Traffic,Police etc Anahitaji kujua kua akifanikiwa kupita mafunzo na kila kitu na...
  7. C

    SoC04 Jeshi la Kujenga Taifa liwe suluhisho la ajira kwa vijana

    TANZANIA TUITAKAYO: JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) LIWE SULUHISHO LA AJIRA KWA VIJANA UTANGULIZI: Mfumo wetu wa elimu umekuwa na changamoto kubwa katika kutimiza ndoto za wahitimu wengi.Hii ni kwa sababu mfumo huu upo katika muundo wa msonge kwa maana kuwa katika ngazi za chini(Shule za Msingi na...
  8. Ojuolegbha

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa mgeni rasmi mahafali ya Chuo cha Ukamanda na unadhimu Duluti

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb) Juni 15, 2024 amefunga rasmi mafunzo ya mwaka mmoja ya Ukamanda na Unadhimu katika Mahafali ya 38 ya Chuo cha Ukamanda na Unadhimu Tanzania zilizofanyika katika Viwanja vya chuo hicho, Duluti Arusha. Mahafali hayo ambayo...
  9. Ojuolegbha

    Hotuba ya Makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, kwa Mwaka wa fedha 2024/25

    Hotuba ya Makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, kwa Mwaka wa fedha 2024/25
  10. Ojuolegbha

    Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa inawatakia Kheri ya Sikukuu ya Wafanyakazi "Mei Mosi"

    Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa inawatakia Kheri ya Sikukuu ya Wafanyakazi "Mei Mosi"
  11. Ojuolegbha

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa azungumza na Vyombo vya Habari

    Mkutano wa Mawaziri na Vyombo vya Habari Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. 🕰️ 7:00 Mchana. 📆 3 Aprili, 2024. 📍 Dodoma, Tanzania.
  12. Ojuolegbha

    Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa imewasilisha Makadirio ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2024/25

    Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa imewasilisha Makadirio ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2024/25 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge, Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama, tarehe 25 Machi, 2024.
  13. Powell Gonzalez

    Wanachokifundisha JKT/ Jeshi la kujenga taifa

    Kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na agizo la serikali la kuwataka wanafunzi waliomaliza elimu ya kidato cha sita kwenda kujiunga na mafunzo ya miezi mitatu ya jeshi la kujenga taifa maarufu kama ''kwa mujibu wa sheria''. Sina uhakika kama mwanzilishi au serikali wakati inaanzisha mafunzo...
  14. benzemah

    Jeshi La Kujenga Taifa Latangaza Nafasi za Mafunzo

    eshi la Kujenga Taifa JKT limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo ya kujitolea kwa mwaka 2023 kwa Vijana wa Tanzania Bara na Visiwani kuanzia August 28,2023 na watakaofanikiwa wataripoti kwenye makambi kuanzia Septemba 26 hadi 29, 2023 Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Tawi la JKT Brigedia...
  15. benzemah

    Rais Samia Kuongoza Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu Dk. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), yatakayofanyika kesho. Kwa mujibu wa taarifa kwenye maadhimisho kumeandaliwa mambo mbalimbali...
  16. R

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lakataa vijana 8 kutokana na kujihusisha na vitendo vya Ushoga

    Mkuu wa wilaya ya Iramba Selemani Mwenda amesema vijana hao nane kati ya thelathini waliyokosa sifa ya kujiunga na mafunzo ya JKT ni kutokana na vipimo kubaini kwamba wanajihusisha na vitendo vya ushoga. Kijana mmoja alioneka akikimbia kwa kukata viuno na jinsi alivyokuwa akiweka mikono na...
  17. RUCCI

    How the 1964 Tanzania Rifles mutiny gave birth to TPDF

    TPDF Little is known today or even narrated in the local media, about the January 1, 1961 mutiny by African members of what was then known as the Tanganyika Rifles, which occurred three years after Tanganyika's independence from Britain on December 9, 1961. The British had ruled Tanganyika as...
Back
Top Bottom