Wakuu,
Wakati taifa la Kenya likiwa linazizima kuhusu matukio ya utekaji na mauaji, matukio kama hayo yameendelea kushamiri.
Siku ya leo mwili wa mtu mmoja aliyefariki umeonekana ukielea kwenye mto Ruhiru.
Mamlaka za nchini bado hazijatoa taarifa zaidi kuhusu tukio hilo.
Source...