Kila Mwanajeshi ninayekutana naye wa Uganda (hasa Maafisa) na wengi wao walioko katika Kikosi cha Ulinzi cha Rais Museveni na wakubwa wao walikoko Makao Makuu yao ya Mbuya na wale walioko katika Vyuo vyao vya Kijeshi kama Kawaweta, Jinja na Kabamba wanasema wanakipigia Saluti Chuo cha TMA na...