jeshi la uhamiaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Jeshi la Uhamiaji Tanzania Bado Lina Hoja ya Kujibu Kuhusu Suala la Kuwapa Uraia Hao Wachezaji wa Kigeni

    1. Baada ya kuibuka kwa sakata la Kuwapa Uraia kiholela Wachezaji mpira wa Kigeni waliosajiliwa na timu ya Soka ya Singida United, Idara ya Uhamiaji walitoa taarifa yao ambayo wanadai kuwa inalenga kutoa ufafanuzi kuhusiana na suala hili. Taarifa husika imeambatishwa hapa kwenye uzi huu. 2...
  2. Jeshi la Uhamiaji rejesheni operation kama Kikwete za kuwafukuza wahamiaji haramu

    Uhamiaji kwanini mlisitisha operation za wahamiaji haramu muda mrefu hivi Kwa mkoa wa Kagera na Kigoma Zamani sisi watu wa Kagera na Kigoma tulizoea ikifika mwezi march ni msako nyumba Kwa nyumba kuwasaka wahamiaji haramu ila Kwa Sasa kipo kimya miaka zaidi ya 10 Uhamiaji ni jeshi mpo tu...
  3. Rais Samia nakuomba lifumue jeshi la Uhamiaji na taasisi zake

    Tumekuwa tukilaumu jeshi la police Kwa kukosa weledi na rushwa Sasa kwa uozo ulio jeshi la Uhamiaji ni ndo mkubwa zaidi, Kuna uzembe na rushwa sana 1. Kuhusu wachezaji wanne wa Singida Black Star kupewa uraia bila vigezo na kinyume cha Sheria Uhamiaji mnafanya hivi Kwa faida ya nani? Hamjui...
  4. G

    Changamoto ya kufanya maombi ya ajira katika Jeshi la Uhamiaji

    Hello Wana JF Nashida katika uombaji ajira hizi za Uhamiaji, nimesha fanikiwa atua ya awali ya kujisajiri Sasa changamoto inakuja pale ninapo taka kuendelea kuja taarifa zangu zingine hainiletei muongozo unao fuata, mwenye ufahamu zaidi naomba Msaada.
  5. B

    wakuu mnisaidie hapa kuhusu uombaji wa ajira ya jeshi la uhamiaji

    nimeona hili tangazo la ajira za jeshi la uhamiaji, naombeni kujua kwamba, kwa fresh graduates ambao hawajapata vyeti toka vyuoni wanaombaje hizi nafas? maana nimeona vyeti vihakikiwe, inakuwaje kwa fresh graduates ambao hawajapata vyeti?. mwenye anaweza kunijibu/kutoa mwongozo kuhusu hili...
  6. A

    DOKEZO Ucheleweshaji wa zoezi la ulipaji fidia kutoka Kwa Jeshi la Uhamiaji Tanzania kwa wanakijiji wa Vuo Kata ya Moa Wilani Mkinga

    Habari ya za majukumu wakuu, mwaka jana Jeshi la uhamiaji Tanzania waliitisha mkutano katika kijiji cha Vuo wilayani Mkinga ili kuelezea wananchi wa kijiji hicho juu ya adhma yao ya kuongeza eneo la chuo chao cha Uhamiaji ambao kila mwananchi ambaye anamiliki eneo au shamba kwenye eneo hilo...
  7. Jeshi la Uhamiaji limeumbuka kiutendaji, CDF-JWTZ ameeleza wazi waliyoshindwa kueleza

    General JJ Mkunda. Commissioner General Immigration Anna Makakala. Jeshi la Wananchi Tanzania kupitia Mkuu wa Jeshi JWTZ, has again done us proud. Mkuu wa Jeshi, CDF General Jacob John Mkunda amelezea tishio la usalama wa nchi kutoka angle ambayo kuna jeshi lingine lipo kwa ajili hiyo...
  8. Nafasi za kazi Jeshi la Uhamiaji

    Kamishna Jenerali wa Uhamiaji kwa Mamlaka niliyonayo chini ya Kanuni Namba 11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za Mwaka 2018, natangaza nafasi za Ajira Mpya za Askari wa Uhamiaji kwa Vijana wa Kitanzania wenye sifa zifuatazo:- 1. SIFA ZA MWOMBAJI i. Awe ni raia wa Tanzania; ii. Awe...
  9. M

    Peter Madeleka: Mwili wa kijana Enock Elias umekutwa umezikwa kinyemela baada ya kukamatwa na uhamiaji Wilayani Kibondo

    Kuna taarifa kuwa mwili wa kijana ENOCK ELIAS SEBAKWIYE umekutwa umezikwa kinyemela baada ya kukamatwa na uhamiaji wilayani KIBONDO tarehe 27 Oktoba 2023 akidaiwa kuwa ni Mkimbizi. Kama taarifa hii ni kweli, ninalaani kitendo hiki na Wahusika akiwemo Makakala, wawajibishwe.
  10. A

    Jeshi la Uhamiaji wamenirudisha Nyumbani wakidai sipo Fiti. Nimepoteza dira ya maisha

    Nawasalim kwa jina la JMT, Naamin kila mmoja wetu ni mzima wa afya na kwa wenzetu ambao hawako sawa kiafya basi mwenyezi Mungu awafanyie wepesi. Amin Wakuu maisha yana mitihani mingi sana wakati mwingine inakatisha tamaa na moyo unashindwa kuendelea, mimi ni mwanachama wa muda mrefu wa huu...
  11. NEMC fanyeni kama Polisi au Jeshi la Uhamiaji

    Mitaani kumechafuka hivi sasa Vigodoro vinakesha kwenye makazi ya watu serikali za mitaa zimetiwa mifukoni mwa watu Makanisa yanafunga speaker kubwakubwa zisizotofautiana na zile za kumbi za disco kwenye open space Bar nazo zinasumbua usiku kucha miziki mizitomizito kwenye makazi ya watu Wauza...
  12. Naomba kufaham mambo kadhaa kuhusu ulinzi shirikishi

    Naomba kufaham mambo kadhaa kuhusu ulinzi shirikishi wanaosimama kama walinzi wa msaada jamii 1) Hawa walinzi shirikishi wanareport kwa nani je? Kwenye jeshi la polisi ngazi ya kituo cha polisi au Ofisi yq uhamiaji ? 2)Uhalali wa utendaji kazi wao na jinsi wanavyopatikana hadi kuingia kufanya...
  13. Rais Samia: Utafiti umebaini kuna matumizi mabaya ya fedha Idara ya Uhamiaji

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifunga Mafunzo ya Awali ya Askari wa Uhamiaji Kozi na. 1/2022, katika Chuo cha Uhamiaji Boma Kichakamiba leo tarehe 15 Agosti, 2022 Mkoani Tanga. MKUU WA MKOA TANGA – OMARY TABWETA MGUMBA Mrundikano wa wafungwa kutoka nje wasio na...
  14. T

    Nafasi za kazi Idara ya Uhamiaji (470)

    Jamani mwaka mpya na fursa za ajira zimetangazwa kutoka Idara ya Uhamiaji Tanzania. Wale wenye sifa tujimwage kujaribu bahati zetu. Tangazo hili linapatikana pia kwenye page yao ya Instagram. Halafu si tuliambiwa Uhamiaji sasa ni jeshi, sasa mbona msemaji wao bado anaitambulisha kama Idara ya...
  15. K

    Jeshi la Uhamiaji mmepiga gwaride zuri, sijawahi kuwaza hawa jamaa ni Askari

    Hii nchi ina siri kubwa kwenye mfumo wa Ulinzi, Watendaji wa Uhamiaji ukikutana nao huwezi sema ni jeshi, Naamini Mwalimu wakati anatengeneza mfumo wa nchi aliona mbali Sana. Jinsi miaka inavyozidi kwenda ndipo Watanzania wanatambua kauli ya kwamba wananchi wote ni Askari. Kama Hawa hjamaa ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…