Wadau hamjamboni nyote?
Serikali ya urusi imeshtukia mchezo mchafu baada ya kugundua vifaa vya mawasiliano walivyouziwa/ kupewa na kampuni ya kichina kukutwa vimetegeshwa vilipuzi
Kama vile walivyopewa magaidi ya Hamas na Hezbollah
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Times of Israel...
Wadau hamjamboni nyote
Rais Asad amevunja ukimya na kusema hajakimbia Syria na kuwatelekeza watu wake ila warusi ndiyo waliomuhamishia nchini kwao baada ya kambi yao ya kijeshi kushambuliwa vibaya na waasi
Isingalikuwa warusi kumuondoa nchini Syria kwa nguvu basi angeliendelea kupambana hadi...
Shirika la Habari la Serikali ya Syria,SANAA limeripoti kwamba,Msafara wa wanajeshi kadhaa wa Urusi pamoja na vifaa vya kijeshi vimeanza kuondoka nchini Syria.
Video kadhaa zimeonesha msafara wa magari ya kijeshi ikiwemo mifumo ya ulinzi wa anga aina ya S-300/400, Vifaru aina ya T-64 na Magari...
Wakati Ukraine ikikumbwa na hamas za chini kabisa katika vita na upungufu wa askari na silaha,imeelezwa wapiganaji kutoka Chenchnya wamefanikiwa kuwasukuma nyuma wapiganaji wa Ukraine waliojipenyeza ndani ya mipaka ya Urusi mwezi uliopita.
Habari hizo zinakwenda sambamba na taarifa ya jeshi la...
Viongozi Waandamizi wa Jeshi la Urusi wameanza kuingia Iran ikisadikika kua ni katika mikakati ya kutoa code za nuke zana zingine za kimapigano
⚡️Sergei Shoigu has just arrived in Iran.
🚀☢️What is going on?
‼️🇮🇷🇷🇺 Breaking: Sergrey Shoigu, Secretary of the RF security council, has landed in...
Wadau naona kipindi hiki tumejikita sana Israel na Palestine, nimeona nije jambo hili pia ili kujua kinachoendelea kule Ukraine
Ripoti kutoka Ikulu ya Marekani zinaonyesha masuala ya nidhamu kali katika jeshi la Urusi. Wanajeshi wanakabiliwa na adhabu ya kunyongwa kwa kutotii amri na hata...
Sasa wanaanza kufuatwa manyumbani, alikua anafyeka nyasi kwake kashushiwa mzigo......
Salamu ziwafikie viongozi wa jeshi la Urusi popote walipo, wanafahamika wanakoishi na mitoko yao ya kila siku, na kuna drones za Ukraine zipo angani zinajipigia popote Urusi hadi hata ikulu.
News
World News...
Wapiganaji wa Wagner waelekea Moscow kuuondoa utawala wa kijeshi unaoongozwa na SERGEI SHOIGRU. Kiongozi wa Wagner anadai kwamba majeshi ya urusi yamekuwa yakishambulia kambi zao nchini UKRAINE.
Huu Uzi nitatoa update ya kila kinachoendelea.
=====
Update: Maafisa wa Ukraine wasema watatumia...
damu
hali
jeshijeshilaurusi
kijeshi
kiongozi
kuelekea
kuepusha
kundi
kusini
makao
makao makuu
moscow
nyerere
raha
russia
safari
ukanda
ukraine
urusi
viongozi
wagner
yericko nyerere
Vita vyaanza baina ya wanajeshi wa Urusi na wapiganaji wa Wagner, mbwa kala mbwa, yajayo yanafurahisha...
The head of the Wagner Group, Yevgeny Prigozhin, has indicated the Russian army has killed some of his mercenaries.
In what the British Ministry of Defence (MoD) called a feud of "an...
Asema jeshi la Ukraine linapigana kitaalam sana na wamejipanga tofauti na aibu ambayo jeshi la Urusi limedhihirisha, na kwamba hali ikiendelea hivi Urusi kutalipuka mapinduzi
======================
02:18 - Source: CNN
CNN —
A new “revolution” could rock Russia if its stuttering war effort in...
Habari zilizovuja na kuthibitishwa na Ukraine ni kuwa.
Boss wa Wagner Yevgeny Prigozhin alikuwa na mawasiliano ya siri kati yake na GRU (Military Directorate of Intelligence) kuhusu kuwapa maeneo walipo wanajeshi na viongozi wa kijeshi wa Urusi kwa sharti la Wagner kuachiwa Bakhmut.
Siri hiyo...
Mpasuko unaendelea Urusi, asema kuna uwezekano Ukraine wakafaulu kutembeza kichapo kwenye counteroffensive ijayo maana wakuu wa Urusi ni wazembe na wanaondoka na kuacha jeshi likiwa hovyoo.
===========
Wagner mercenary chief says Ukraine's counteroffensive could succeed against Russian forces...
Kila upande unasema unapambana wenyewe bila usaidizi.
Russia's defence ministry says its forces are taking part in the battle for Soledar, a town north of Bakhmut in east Ukraine which has been the focus of recent fighting.
It comes after the head of Russia's notoriously brutal Wagner...
Kama tumekuwa tukiripoti, kampuni ya nishati ya nyuklia ya Ukraine Enerhoatom imesema kwamba wanajeshi wa Urusi wanaodhibiti kinu cha nyuklia cha Zaporizhzhya huenda wanapanga kukitenganisha na njia zinazoingiza nishati katika mfumo wa nishati wa Ukraine katika siku za usoni.
Enerhoatom...
Ukrainian forces have pushed Russian forces from Snake Island, a strategic Black Sea island off the southern coast near the city of Odesa.
Russia portrayed the pullout from Snake Island off the port city of Odesa as a “goodwill gesture”. Ukraine’s military said the Russians fled the island in...
Waingereza wawili na mwanamume mmoja wa Morocco waliokamatwa na vikosi vya Urusi nchini Ukraine wamehukumiwa kifo, shirika la habari linalomilikiwa na Urusi RIA Novosti linaripoti.
Aiden Aslin, 28, kutoka Nottinghamshire, Shaun Pinner, 48, kutoka Bedfordshire, na mtu wa tatu, raia wa Morocco...
Hii mdiyo style ya vita ya Russia, hana askari wa kuweza kupambana na adui, hana intelligence ya kuweza ku locate adui walipo, jana jeshi wa strategy ya kuweza kudhibi maeneo anayokua amefanikiwa kuingia (maana hata kuteka hawezi), ma tumeona jinsi jeshi la Russia lilivyokuwa limetapakaa kote...
Afisa mkuu wa tisa wa Urusi ameripotiwa kuuawa nchini Ukraine, na kuwa wa hivi punde zaidi katika idadi ya maafisa wa ngazi za juu wa Urusi kuuawa tangu vita kuanza siku 46 zilizopita.
Kulingana na ripoti za vyombo vya habari, Kanali Alexander Bespalov alikuwa kamanda wa Kikosi cha 59 cha Tangi...
Mfahamu kwa picha Bi Roza Georgeyevna Shanina Mdunguaji Bora Kabisa wa Jeshi la Urusi aliyeua watu 54
Hamjamboni wadau
Ni mdada mrembo kabisa kwa muonekano aliyehudumu
kwenye kikosi maalumu cha Wadunguaji (Snipers) wa Jeshi la Kisoviet mwaka 1943
Alikuwa ndiye mdunguaji bora kabisa (one of...
Ufisadi Jeshi la Urusi waibuka ndio sababu ya magari na vifaru kupigwa na Ukraine
Mchambuzi wa maswala ya kijeshi ya vifaa vya kivita akihojiwa na CNN amesema kuwa Urusi kila mwaka imekuwa ikitenga mabilioni ya dola kununua vifaa vya kivita, kutengeneza na spea Zake lakini pesa hizo zimekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.