Habari wakuu poleni na majukumu
Niende moja kwa moja kwenye madam kama ilivyoainishwa hapo Juu
Nina siku ya 3 Leo Kila nikijaribu Kumsaidia Mdogo Wangu kuomba hizi Nafasi za ajira zilizotangazwa na Jeshi la zimamoto inashindikana,
Maana hata log in / sign up inagoma kufunguka, sasa sijui ni...
Kila nikitembelea jengo la NSSF Ilala hukuta kamba zimefungwa kwenye ngazi ili zisitumike hivyo kulazimisha zitumike lifti tu!
Kitendo hiki ni cha kuhatarisha usalama wa watumiaji wa jengo hilo la NSSF na pia kuonesha uzembe wa kikosi cha ukaguzi cha jeshi la zimamoto na uokoaji, msisubiri...
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limetoa tahadhari ya uwepo wa majanga baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania kuripoti uwepo wa mvua za wastani na juu ya wastani katika baadhi ya mikoa nchini huku likiwataka wananchi kuwa makini katika kipindi hicho pamoja na kuviasa vyombo vya usafiri kutopita...
Wakuu
Makonda hapoi, huko Arusha ameamka na hii ya kutumia gari la Zimamoto
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda akiendesha gari la jeshi la Zimamoto na Uokoaji huku akihamasisha zoezi la usafi katika Mkoa wa Arusha leo Novemba 26 2024.
Tukio lemetokea huko Dodoma yani ushuzi wa binadamu uwezi kuimili ila cha kushangaza mtoto kaweza kuishi siku 3 .
Huyu mtoto anaweza kuwa miujiza mtoto.
Tukio limetokea huko Dodoma
UTANGULIZI.
Majanga ya moto ni miongoni mwa majanga ambayo hayatabiriki na huleta athari kubwa sana katika jamii kama vile watu kupoteza maisha na mali,kwa Tanzania majanga mengi ya moto yamekuwa yakileta maafa makubwa kipindi yanapotokea hii nikutokana na sababu mbalimbali ikiwepo ukosefu wa...
Wakuu naomba kufaham kwa yeyeto ambaye amepata tetesi au anajua ni lini PDF la usahili wa ZIMAMOTO linatoka.
Dogo langu aliomba nafasi sasa ila Siku zinasongea hatuoni mrejesho.
Mwisho japo si kwa umuhimu: wanatarajia kwenda depot mwezi gani?
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kutoka Mkoa wa Kagera limethibitisha kuwa Ndege ya Shirika la Precision Air imepata ajali na kuanguka kwenye Ziwa Victoria wakati ikijaribu kutua na tukio hilo ni kweli.
Zimamoto zimekanusha taarifa za uvumi kuwa ndege hiyo imeangushwa kwa majaribio ya mazoezi ya...
Asalam Alekum ndugu zangu,
Naombeni ufafanuzi juu ya uhisika wa mamlaka ya Jeshi la Zimamoto katika taratibu za uombaji wa kibali cha ujenzi.
Nimekuwa nikisimamia ujenzi katika nyumba ya ibada mahala flani lakini watu hawa wamekuwa hawakauki katika eneo hili huku tukipigwa faini juu ya...
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini limesema kwamba litaboresha mifumo yake ya kidigitali katika utoaji wa taarifa kwa umma, utakaowezesha kutoa taarifa kwa wananchi wengi kwa wakati mmoja ili kutatua changamoto za majanga ya moto.
Kauli hiyo imetolewa na Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la...
Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto mkoa wa Ilala Elisa Mugisha, amesema kwamba taarifa za kuungua kwa soko la Karume walichelewa kuzipata kwani wangezipata mapema wangeweza kuokoa athari iliyojitokeza.
Kauli hiyo ameitoa hii leo Januari 18, 2022, wakati akizungumza kwenye kipindi cha...
KAILIMA ALIPONGEZA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI KWA KUWA WABUNIFU, AZINDUA MIRADI MBALIMBALI CHUO CHA CHOGO, MKOANI TANGA
NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima amelipongeza Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa kukiendeleza Chuo cha Zimamoto kilichopo Chogo, Wilayani...
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji John Masunga, atangaza nafasi za kazi kwa vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
Waziri wa TAMISEMI, Mhe. Ummy Mwalimu amesema Serikali itajenga visima vya maji kwenye masoko na stendi za mabasi zote zinazomilikiwa na Halmashauri ili kukabiliana na majanga ya moto pindi yanapojitokeza.
Chanzo: Radio One
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.