jeshi la zimamoto na uokoaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. itakiamo

    Watanzania ni wasahaulifu sana, baada ya lori kupata ajali, watu wanachota mafuta

    Kuna ajali ya lori la mafuta imetokea hapa Mzambarauni , Morogoro. Kitu kilichonishangaza ni uwepo wa watu ambao wamejiandaa kabisa kwa kuchota mafuta wakati si miaka mingi naeneo hayo hayo palitokea vifo halaiki kutokana na moto August 2019.
  2. and 300

    Ukipatwa janga TZ usitegemee Msaada wa haraka

    1. Kwenye sekta ya uokozi bado sana. Majanga hatujayapa kipaumbele zaidi ya ununuzi wa Magari ya kifahari. (MV Bukoba, Ajali ya Treni Dodoma, Tetemeko Bukoba, COVID, Ajali precision air, jengo kuanguka Kariakoo). 2. Watu wamekwama hapa hapa kariakoo siku ya pili bado hakuna aliyejiuzulu mpaka...
  3. Full 8

    SoC03 Tumejifunza nini katika majanga yaliyotupata?

    Nchi yetu inakumbwa na majanga mbalimbali kila mwaka. Majanga haya yanaweza kuwa ya asili au yasiyo ya asili (artificial). Ukipitia vyombo mbalimbali vya habari kama televisheni, redio au magazeti si ajabu ukakutana na vichwa vya habari vinavyosomeka hivi: “.. watano wamefariki kutokana na...
  4. DullyJr

    Geita: Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lalamikia wananchi wanaotumia muda mwingi kupiga simu ya bure

    #HABARI: Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Geita, limewalalamikia wananchi wa Mkoa huo wanaotumia muda mwingi kupiga simu ya bure ya Jeshi hilo kwa lengo la kuwasalimia Askari waliopo zamu pamoja na kuulizia uwepo wa maji ya kutosha na utayari wao, ambapo limebainisha kuwa hali hiyo inazuia...
Back
Top Bottom