Wakuu,
Kama mmeona sasa hivi karibu kila siku Lugumi yuko kwenye media, mara katoa msaada kwa watoto yatima, mara anajengea yatima nyumba, mara kaalika watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu kufanya dua, mara sijui kaenda kulisha wapi, yaani ni heka heka mtindo mmoja.
Na Millard kama kawa...
Mwanajeshi wa Marine (USA) aliamua kuacha kazi jeshini na kuanza kazi mpya kama mwalimu wa high school, sasa kabla mwaka wa masomo haujaanza aliumia mgongo na akatakiwa avae plaster cast(piopi zile wanazovaa waliovunjika), akafungwa plaster cast iliyozunguka sehemu ya juu ya mwili wake...
Hello
Wengi huwa wanaomba nafasi mbalimbali katika vyombo vya ulinzi wengine wanakuja kufeli kwenye usahili kwa vitu vidogo vidogo ambavyo vinaweza kurekebishwa kabla ya usahili ila mnavipuuzia
Nafasi zinapotoka kunakuwa na ushindani mkubwa unakuta kila mtu anapambana mtu wake apite au apate...
SOURCE BBC: Benjamin Netanyahu, Israel's defiant leader
"Katika umri wa miaka 18, alirudi Israeli, ambapo alitumia miaka mitano mashuhuri katika jeshi, akihudumu kama nahodha katika kitengo cha makomandoo wasomi, Sayeret Matkal. Alijeruhiwa katika uvamizi wa ndege ya Ubelgiji iliyotekwa nyara...
Jeshi la kujenga taifa lilianzishwa mwaka 1964 chini ya waisraeli pale Temeke ilipo kambi ya Twalipo, na kikundi cha kwanza kilikuwa na askari wanawake na wanaume na ndicho kipindi hicho wanawake walianza pia kuingizwa jeshi la wananchi wa Tanzania.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote ya Ulinzi na Usalama, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa ndege za Mafunzo ya awali kwa marubani na Mabasi ya Usafirishaji vyote kwa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)
Pia soma: Rais Samia akitunuku Nishani ya Miaka 60...
Kipindi tupo maservice enzi izo kambi fulani kulikuwa na op ilio tutangulia sasa kulikuwa na kijana mmoja maarufu sana anaitwa ngosha so sisi op mpya tulivyo fika pale kikosini tukamkuta sisi tulikuwa majuorner yaan wadogo wale ndio sinior
Alikuwa anaishi kama afande yaani p staf hukuti...
Habari Wadau wa jukwaa la Elimu
Kuna jamaa yangu anahitaji ushauri hapa. Yuko dilemma katika kuchagua kipi ni sahihi?
Amepata mbanga wa kumpigania katika ishu ya TPDF na ameambiwa akapostpone masomo yake lakini yeye bado yuko dilemma kwa sababu hana mapenzi na Majeshi ila anataka aende kwa...
Naomba mnisaidie kitu wana jamiii forum hiv moja ya malengo yangu ni kujiunga na Jeshi kuna kitu nataka nifahamu, hiv unapoingia jeshini nini huwa wanazingatia nin ili upande cheo
Bunge la Ukraine limepasisha muswada wa sheria inayoruhusu kukusanywa na kusajiliwa jeshini wafungwa wa nchi hiyo.
Tovuti ya habari ya Russia Today imeripoti habari hiyo na kuongeza kuwa, rasimu ya mwisho ya muswada huo ilipigiwa kura kwa wingi bungeni jana Jumatano baada ya kufanyiwa...
Wote tunaona idara ya ulinzi wa jeshi la taifa likiweka vitengo ambavyo vinaweza kuwalinda na kuwaongoza wenyewe mfano kama polisi za kijeshi kwa wanajeshi.
Sasa upande wa polisi hapa kwetu kumekuwa tofauti ambapo polisi hakuna wa kuwajibishwa hata kama polisi mwenzake labda upande wa rushwa...
https://www.youtube.com/watch?v=SH9ks-0_wQ8
Mimi ni mmoja wa watu tulobahatika kuhudhuria msiba wa marehemu Edward Ngoyai Lowassa na nikawa na shauku kubwa ya kusikia historia ya mwanasiasa huyu.
Bila shaka protokali ya msiba haikukosa kuwa na kasehemu ka kueleza wasifu wa mzee huyu ili...
Jeshi na vyuo vikuu vinaweza kuchangia katika kuleta na kukuza teknolojia mpya kwa nchi, lakini ni muhimu kutambua kwamba sehemu zingine za jamii na sekta zinaweza pia kuchangia kwa njia kubwa. Hapa kuna jinsi ambavyo jeshi na vyuo vikuu vinaweza kuwa sehemu muhimu ya kuleta teknolojia mpya...
Habari!
Nilipomaliza form 6 zikatoka nafasi za kwenda jeshi wanaita "kwa mujibu" basi nikaangaza macho yangu kwenye orodha nikaona "Ephen - Rukwa"
Basi nikafurahi sana, furaha haikua kwasababu naenda jeshi hapana. Hata mpango nayo nilikua sina ila tu niliona ni bahati jina langu kua kwenye...
Kitendo cha serikali ya CCM kufumbia macho WAHUNI Jeshini waliojichukulia sheria mkononi na kupiga, kujeruhi na kuua raia wasio na hatia HAKIKUBALIKI asilani.
Tunafahamu ni kwa muda mrefu sasa majeshi yetu yote (Jeshi la wananchi, Polisi,Magereze n.k) yamekuwa yakitumika na serikali hii ya CCM...
Urusi imeishiwa wanajeshi hadi imeanza matendo ya kihuni, wageni wanaofanya kazi za ujenzi wanasakwa na kunyang'anywa paspoti na kulazimishwa mafunzo ya kijeshi kisha wanatiwa frontline kujaribu kuzuia mtiti wa counteroffensive ya Ukraine.
PHOTO: SPUTNIK
Since the end of June, Russia has...
Tanzania ilibadilisha cheo cha Brigadier kutoka Senior officer na kuwa General Officer na hivyo kuweka pengo kubwa sana kati ya senior officers na general officers.
Kwa mfano unaposikia Major General basi kunakuwa na officer anayeitwa Major, Ukisikia Lt General ina maana kuna officer anayeitwa...
Watu wakiwa na vyeo ama wanafanya kazi taasisii flani unakuta wanaheshimiwa kuzidi wafanya biashara, wakulima, wafugaji, n.k. wenye pesa zaidi, kwanini ?
Top shelf- Wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa, wakurugenzi wa taasisi, n.k.
Mahakamani - mahakimu ha majaji
Jeshini - Wengi wakivaa gwanda tu...
Kama ilivyo kwa ajira nyingine ambazo kigezo mojawapo ni ukakamavu na uzalendo (JKT).
Tunahitaji MBUNGE sifa ya kugombea iwe JKT na awe na historia ya KUTUMIKIA TAIFA kwa uzalendo kwa muda usiooungua miaka mitano.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.