jesus

  1. The hidden identity of Jesus and the Son of Man

    In Christendom ,many Christians have been believing that Jesus whom they call Christ was a historical figure and was the Son of Man.my discussion aims at exploring into the hidden identity of Jesus and the Son of Man that christians and non-christians should come to light and get acquaintance of...
  2. R

    Unyakuo u karibu, nimemwona King Jesus mawinguni amepanda farasi mweupe akiwa na jeshi kubwa la Malaika na Watakatifu

    Salaam,Shalom!! Nalikuwa katika Roho, usiku, ndani ya nyumba, ghafula nikapata uwezo wa kuona nje mawinguni. Naliona jeshi kubwa la Malaika na WATAKATIFU wakiongozwa na jemedari mkuu, Yesu Kristo, amevaa taji yenye kungaa sana kichwani mwake, mikononi alishika upanga ungaao sana, alipita...
  3. Mambo muhimu ya kufanya kwa mwanaume mwaka huu wa 2025

    NB nimeikopi kutoka X 1. Mpangilia wa kuamka saa 12 Asubuhi kila siku, (Epukua kuamshwa na Alarm). 2. Fanya mazoezi ya "KEGEL" kwa usahihi Walau nusu saa kila siku asubuhi na jioni. 3. Kunywa maji lita 3-5 kila siku iwe kwenye ratiba yako. 4. Pata bakuli mbili ya mchuzi wa bamia changa kwa...
  4. J

    Mfahamu Dk. Zakir Naik: Muhibiri aliyealikwa TZ kufanya mihadhara ya Jesus vs Muhammad anatafutwa kwa kuchochea ugaidi nchini kwake

    Dk. Zakir Naik ni mhubiri ambaye amealikwa kuja kufanya mijada ya kidini Tanzania, anatarajiwa kufanya mihadhara mitatu Mihadhara hiyo itakuwa inajadili kuhusu Mtume Muhammad na Yesu Mihadhara yake itarushwa live na Azam TV na ZBC2 Mhadhiri huyu ana asili ya India na anamiliki channel...
  5. Huu mdahalo lengo ni nini? Mdahalo unaitwa “Jesus and Mohammed”

    Happy Christmas Nimeona tangazo hili azam tv kuwa kutakuwa na mdahalo wa maswali na majibu kuhusu Mohammed na Jesus Nachojiuliza why waislamu wanapenda sana kuongelea mambo ambayo wao hawayaamini? Mmeshawai sikia wakristo wameandaa matamasha au mdaharo kwa lengo la kupambanisha imani? Kuna...
  6. His name will be Jesus because he will save his people from their sins

    Bwana Yesu alizaliwa ili atusaidie kuondoa dhambi zetu. Je Amefanikiwa? Hili ndilo jambo la kujiuliza kila mmoja wetu kama Yesu Kristu alifanikiwa katika mission Yake. Sasa neno "dhambi" siyo kila mtu anapenda kulitumia. Kwa sababu,katika kabila letu kwa mfano, mwanamke hawaruhusiwi kula...
  7. Guéhi aibua gumzo EPL baada ya kuandika 'I Love Jesus' kwenye kitambaa cha unahodha chenye rangi za upinde/LGBTQ+

    Beki wa kati wa Crystal Palace na England, Marc Guéhi huenda akachukuliwa hatua za kinidhamu na Shirikisho la Soka la Uingereza (FA) baada ya kuandika “I LOVE JESUS” kwenye kitambaa chake cha unahodha wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu dhidi ya Newcastle mchezo uliomalizika kwa sare ya 1-1...
  8. Kuna hawa wadada/wanawake wa kuwa attached to Jesus. Kwa ground ni nyoka

    Ukipitia accounts zao kwenye mitandao ya kijamii ni mwendo wa 'Asante Jehova' hawaposti nyimbo za kidunia wao ni gospal kwa kwenda mbele. Kujisnap wanaimba vijimbo vya kusifu na kuabudu. Jumapili kama hii wanajiposti, gauni refu la kitenge, biblia mkononi wanakwenda kanisani uuuuh Wanawake wa...
  9. Debunking Jesus as a simple prophet

    Let's make this clear once and for all. When Jehovah said; Isaiah 44:6 [6]Thus saith the LORD the King of Israel, and his redeemer the LORD of hosts; I am the first, and I am the last; and beside me there is no God. But also when Jesus said in revelation; Revelations 1:17-18 [17]...And he laid...
  10. Well, Jesus did not ascend to the physical heaven

    While I was reading the Bible in the Gospel of John I came across words spoken by Jesus (He was quoted) and In my understanding of the words, I have found and concluded that Jesus DID NOT ASCEND UP TO THE HEAVEN PHYSICALLY rather he ascended spiritually to spiritual heaven, the physical...
  11. N

    Jesus Moloko awindwa na Pyramids ya misri

    Mkiambiwa Yanga sc ni team bora afrika mashariki na kati msibishe jamani, rekodi zake CAf na rank yake inayosoma huko Cairo makao makauu pamoja na form kali waliyonayo msimu huu imekuwa kivutio sana barani afrika The money bags of Egypt yaani matajiri wasio wa mchongo toka Misri , pyramids fc...
  12. We are all witnessing the collapse of the planetary civilization and Jesus Christ is taking over,while those responsible:the NWO elite are not aware

    We are witnessing the collapse of the planetary civilization and Jesus Christ is taking over,while those responsible:the NWO Elite,are not even aware.Infact they believe they are in control!The truth however is that they are destroying what they have built for years. The whole of the human race...
  13. Persecution of the Church of Jesus Christ has started in Canada

    Persecution of the Church of Jesus Christ has started with Canada.Right now as we speak,burning down of churches by anarchists across Canada with impunity is going on. In total as we speak,45 churches are engulfed in fire or have been attacked in ongoing anti-Christian terror campaign. It’s...
  14. Mjue Jesus Christ Lizard, mjusi aneyeweza kutembea juu ya maji

    Ni mijusi wanaopatikana kwa wingi Marekani ya Kati na Kusini, ni mijusi aina ya Basiliscus basiliscus, wanatoka katika familia ya Corytophanidae Mjusi huyu anaweza kutembea/kukimbia juu ya maji hadi mita 20 kwa kutumia miguu yake ya nyuma huku mwili wake ukibaki jua anapokuwa anawakimbia adui...
  15. Because of Jesus

    [Verse 1] See the way you love me See the way you care for me You carry my matter for your head oh All: Ine me Obi nasom Like a little baby You watch over me You no deh carry me de play ooo All: Ine me Obi nasom [Chorus] Ah ha ha ha Ah ha ha ha Obi nasom oh oo Ineme Obi nasom Ah ha ha ha Ah...
  16. Nahitaji kwenda kutembelea sehemu aliyobatizwa Jesus na maeneo mengine maarufu ya zamani kama Nazareth etc

    Naomba msaada wa maelezo kutoka kwa mtu ambaye ameshafika maeneo hayo na gharama zake zipo vipi. Je ni airport ipi ipo better au karibu na hayo maeneo? Tour guide ipoje? Asanteni sana.
  17. M

    Mwenye proposal ya namna ya kutengeneza bidhaa za tambi anitafute

    Tanzania ya viwanda inawezekana, mwenye proposal ya namna ya kutengeneza bidhaa za tambi, namna ya kutengeneza, Ratios, NA rasilimali zingine muhimu za kuzingatiwa wakati was kutengeneza bidhaa hii muhimu. Uweza nicheck via sadickjaphari2@gmail.com
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…