Japo sio wanawake wote ila Kuna Aina flani ya wanawake kumuoneshea mwanaume wake jeuri na kiburi ni kitu cha kawaida tuu.
Wapo wanaume ambao wanafanyiwa vitu vya ajabu ajabu na wanawake zao lakini unakuta mwanaume yupo kimya Hana la kuongea
Inafika hatua mwanamke anakuwa jeuri na ana kiburi...