jeuri

Raymond Jeuris (23 January 1928 – 14 March 2021) was a Belgian politician of the Christian Social Party and was 20 years mayor of Alken between 1975 and 1994.Jeuris started his career as teacher at a agricultural school. He became active as a schepen in the local politics before he became mayor of Alken in 1975. In his twenty years as mayor he has started many projects including the industrial estate, playground in the centre of Alken, sports fields and sports hall, youth clubs, and neighborhoods. He retired in 1994.
After his retirement he stayed livind in Alken with his wife. Jeuris died in the Residential care center Sint Cecilia in Alken where he lived his last years on 14 March 2021, aged 93.

View More On Wikipedia.org
  1. Inawezekana ni Kiburi na Jeuri or Real Busy? Wasaidizi wake hawajamwambia ukweli wa ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?,Tufanye nini kupata Haki?

    Wanabodi, Naomba kuanza na angalizo! Simple Mind Discuss People Ordinary Mind Discuss Events Great Minds Discuss Ideas。 Hili ni moja ya mabandiko yangu ya kiutu uzima,ya ku discuss ideas, hakuna kutaja majina,wala ku discuss watu!。 Naomba wachangiaji tujadili hoja tuu ya msingi bila kutaja...
  2. RC Chalamila Jeuri kwa watu wenye kipato cha chini imezidi sasa, mamlaka ya uteuzi ikiendelea kumlea watavuna wote

    https://www.youtube.com/shorts/e-h8zzRwB44?feature=share RC Chalamila nazani madaraka yamemlevya ..amekua akiwadharau sana watu wa kipato cha chini ,hana lugha mzuri kundi ili la watanzania wenye kipato cha chini .amewashambulia sana wanaume wauza uduvi na kuwaambia wataolewa . Kumbuka...
  3. Air Tanzania ikizuiwa Ulaya, tuzuie zao pia. Jeuri hatuna?

    Air Tanzania imeingizwa kwenye mashirika ya ndege yasiyotakiwa kwenda nchi za jumuiya ya ulaya. Tanzania tuachane kabisa na mataifa ya kikoloni, kwakuwa wanajiona ni wakoloni na kutuona watawaliwa mpaka Leo. Sisi waafrika tunashida gani? Huu ni muda wa kuelekeza nguvu zetu Africa, Asia, Urusi...
  4. Uchumi mzuri unawapa jeuri mbaya wanawake wa kichaga

    Siwasemi vibaya dada zangu wa kichaga, mnasifika kote kwa uwezo wenu wa kusaka mahela. changamoto ninayoiona kwa manka walio wengi, uchumi ukichangamka mnakuwa jeuri na kiburi sana. Haijalishi hata kama mwanaume kamzidi kwa uchumi. Manka akishajihakikishia kuwa ana uwezo wa kusustain maisha...
  5. D

    Je unajua ni kwanini ndege wana jeuri ya kutua kwenye umeme wa 33Kv and below lakini wanaiogopa GRIDI YA TAIFA 220Kv

    Wakuu tulioambiwa wana magamba miguuni tulipigwa...Ngoja niwamegee ILIM 'SHEKH'. Ukizunguka mtaani utaona ndege wa aina tofauti wanatua kwenye nyaya za umeme wenye VOLTAGE kama 230V, 11Kv, 33Kv na hawaoneshi dalili yeyote ya kupigwa shoti. Lakini ukipita kwenye gridi ya taifa 220Kv utawaona...
  6. G

    Nyerere alitamani tuwe na vijana jeuri na wenye kujiamini si waoga, nini kimefanya vijana wetu kuwa kondoo na wenye uoga

    Vijana wa kitanzania bila kinga ya system ni watu waoga sana Nyerere aliwahi kusema“Tunataka kuona katika Taifa hili vijana jeuri na wenye kujiamini , si vijana waoga ,akina ndiyo bwana mkubwa, vijana wenye ujasiri wa kuhoji na kupiga Vita mfumo wa jamii isiyo shabihiana na matakwa na...
  7. M

    Kama unajiita maskini jeuri, jua hiyo jeuri ndiyo inafanya uzidi kuwa maskini

    Mara kadhaa Masikini tumekuwa na kauli mbali mbali za kuonyesha kuwa Umaskini ni haki yetu na moja wapo wa kauli ni hii MASKINI JEURI, Yaani Maskini pia Jeuri . Na kweli ukiwaona MASKINI jeuri utasema kweli jeuri imewaponza , Kwa sababu wamejiweka kwenye mazingira ambayo hawasaidiki Maskini...
  8. P

    Maofisa wadai service levy tax Kariakoo acheni jeuri na kiburi, wafanyabiashara ni uti wa mgongo wa Kariakoo

    Punguzeni jazba, waelemisheni wafanyabiashara watalipa kwa upendo, kulazimisha na kutishana kumepitwa na wakati, Leo nimekuta hiyo kesi kwenye duka moja kariakoo, mdai service levy analazimisha mfanyabiashara afunge duka au alipe, wakati mfanyabiashara anaomba muda wa wiki mbili ndio alipe...
  9. Maneno ya kuibembeleza na kuikingia kifua Israel ni aibu kwa ulimwengu. Ndiyo yanayowapa jeuri mayahudi kuwaoneo wapalestina

    Tangu vita vianze hakuna hata nchi moja ambayo imetoa maneno ya kuikemea Israel kikamilifu au kutaja matendo yao kuwa ni haramu. Badala yake utasikia maneno kama ilichofanya Israel huko Gaza yanaweza kuwa ni uhalifu wa kivita.Yanasemawa hayo wakati yaliyofanywa madogo kuliko hayo maeneo mengine...
  10. Ukidhibiti hasira waweza pia kumdhibiti mke jeuri.

    In natural mwanamke yeyote huwa anajisikia vizuri Sana akihudumiwa na mumewe hasa kwenye mahitaji ya msingi na extra. Unapogharamika kwenye mahitaji yake kwa kumnunulia mavazi akawa wa kuvaa na kupendeza, bila kusahau kumkatia pocket money hata kama mahitaji yote nyumbani yapo, huku ukimletea...
  11. Jeuri ya nini na sote tupo chini ya jua, ubabe wa nini wakati na wewe pia umezaliwa kijana? Chunga sana

    Maisha ni safari, Heshima na upendo ni vitu muhimu katika safari hii ya maisha.
  12. Iran hii jeuri ya kupitisha mizinga juu ya Bunge la Israeli "Knesset" anaitoa wapi?

    Nimeshangazwa sana na uwezo wa Iran kurusha makombora juu ya Bunge la Israeli "Knesset". Tumezowea Hamas na Hezbollah hata wakipiga rocket tutasikia maeneo ya mipakani huko na miji ya pembezoni .sehemu nyeti kama hizo huwezi kusikia rocket au bomu limepita. Iran katuacha vinywa wazi jumamosi...
  13. J

    Jokate Mwegelo: Bila Rais Samia kuwa na falsafa ya 4R katika uongozi wake, kuna watu wasingekuwa na jeuri ya kuandamana

    "TUENDELEE kumuunga mkono Mwenyekiti wetu wa CCM na Rais Dkt. Samia katika kuongoza nchi yetu, amekuwa mfano kwa kuwezesha wanawake kisiasa, kiuchumi na alipewa nchi katika kipindi kigumu lakini alionesha ujasiri na uwezo wa uongozi mkubwa na kupita kwenye mapito tukiwa wamoja na kupelekea kuwa...
  14. M

    Jeuri ya pesa

    Yani eti sasa hivi nimekamata hela ndefu billion na ushee kitakachotokea vizazi na vizazi vitasimulia. Natinga pale kambini lugalo nimevaa magwanda ya kijeshi la marekani yenye bendera ya marekani begani nilioaigiza Ebay nakuanza kuwazaba wajeda mfululizo wa makofi na kila kofi nalipa laki...
  15. Kujiamini kulikopitiliza, kupenda Sifa, Dharau na Jeuri kumemgharimu Kipa Djigui Diara leo na Kuruhusu Goli jepesi na la Kizembe

    Ukinibishia hili kuhusu Kipa wa Yanga SC na Goli alilofungwa ( japo Kayaokoa mengi ) jua Wewe una lako Jambo na hujui Mpira na hata pengine haujawahi Kuucheza na huwezi Kuuchambua Kiufundi vile vile. Abadilike kwa haya Mapungufu Oky?
  16. Mnakumbuka jeuri ya pesa ya Qatar kupandisha ndege ng'ombe wa maziwa 4000 sababu Saudia ilizuia kupitisha maziwa

    Watu na pesa zao, yaani wana kitu kimoja kinacho wapa pesa lakini kimewapa zaidi ya vitu vingi duniani. Miaka ya nyuma Saudi Arabia alimuwekea vikwazo Qatar ila mwisho wa siku kapandisha ndege ng'ombe! Mwenye kisa hiki tuelezeni.
  17. Jeuri za masetela hawa wa kiyahudi ndio zinazohalalisha walichokifanya Hamas 7/10/2023 na kuwafanya wawe wakali kupigana bila kusalimu amri

    Mawaziri wakuu wastaafu wamekuwa mstari wa mbele kutafuta suluhu katika mapigano yanayoendelea. Wameungana na maraisi na viongozi mbali mbali duniani kuhimiza kuwepo kwa taifa la Palestina sambaba na Israel. Lakini bado kuna mawaziri ndani ya serikali ya Benjamin Netanyahu wanaungana na...
  18. Nani anazipa jeuri Daladala za Moshi Mjini kutoka Kikavu Chini hadi Longoi?

    Umbali wa kutoka Moshi Mjini hadi Kikavu chini ni Kilomita 11 tu, nauli ya awali ilikuwa ni Shilingi 600 kabla ya ongezeko la hivi karibuni iliyofanya nauli ya eneo hilo kuwa ni Shilingi 700. Pamoja na mabadiliko hayo, Daladala zinazoenda njia hiyo hazijawahi kuwatoza kiasi hicho cha nauli...
  19. Wee Bocco una mpira gani unaokupa jeuri ya kunyamazisha watu wasiongee?

    Bloo wangu siku hizi unazingua sana kwa vitendo vyako vya kujifanya kunyamazisha watu kisa umefunga tugoli, tena tugoli twenyewe twa offside na twingine beki kajifunga. Ukweli ni kuwa hakuna cha maana unachofanya uwanjani siku hizi, kazi kuwapiga vichwa na vikumbo wachezaji wenzio. Nakushangaa...
  20. Yanga mlianza kwa ngekewa, mashabiki wenu wakawa na jeuri. Kiko wapi?

    Ile bahati ya kukutana na timu dhaifu na kuzifunga magoli mengi basi mkaanza kuota viburi. Sasa ligi ndio imeanza rasmi. Na huko hatua ya makundi hakuna timu kama Zalan. Yaani maji mtaita “mma” endeleeni kuchonga sasa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…