Jaman kuna miujiza hii dunia haisemeki mnakumbukaga jaman zile jezi feki wakatuambia za mabil na ma tv yakaonyeshwa
Akatoke mh mmoja sijui kama yuko madarakan akasema hizi jezi tra wazizuie zisitolewe
2.watu tukaulizana kama docs zimeonesha muhusika kalipa TRA hajulikan mns zile pesa zililipwa...
Leo nikiwa matembezi yangu Kariakoo kujitafuta, nimeona jezi za Yanga na Simba za msimu huu Mpya zikiuzwa elfu 3 ,elfu 5 na Elfu 7 zimemwagwa chini machinga tena karibu na jengo la Simba mtaa wa Agrrey na watu wanazigombania sana tu.
Kwa hilo nimeona sio leo wala kesho uharamia wa jezi...
Jezi za Simba zilitangulia kutoka kabla ya jezi za yanga, mashabiki wa Simba walisifia ubunifu ila kasoro ikawa ni neno SANDA peke yake. Sijajua mbunifu wa jezi za Simba aliwaza nini kuweka 1 5 kwenye jezi za Simba lakini uzuri hakuna aliyechukulia hilo kama nia mbaya ama mashabiki wa Simba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.