jezi mpya yanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    Hivi zile jezi feki zilizo kamatwa za mabilioni zimeishia wapi jamani?

    Jaman kuna miujiza hii dunia haisemeki mnakumbukaga jaman zile jezi feki wakatuambia za mabil na ma tv yakaonyeshwa Akatoke mh mmoja sijui kama yuko madarakan akasema hizi jezi tra wazizuie zisitolewe 2.watu tukaulizana kama docs zimeonesha muhusika kalipa TRA hajulikan mns zile pesa zililipwa...
  2. Selemani Sele

    Uuzaji wa jezi feki hautoweza kuisha nchini

    Leo nikiwa matembezi yangu Kariakoo kujitafuta, nimeona jezi za Yanga na Simba za msimu huu Mpya zikiuzwa elfu 3 ,elfu 5 na Elfu 7 zimemwagwa chini machinga tena karibu na jengo la Simba mtaa wa Agrrey na watu wanazigombania sana tu. Kwa hilo nimeona sio leo wala kesho uharamia wa jezi...
  3. Full charge

    Rangi nyeupe kwenye jezi nyeusi ya Yanga imekaaje?

    Mimi ni shabiki wa Young Africans (Yanga) nahoji uhalali wa rangi nyeupe kwenye jezi yetu nyeusi je uhalali wake ukoje au timu yangu haina rangi zake maalumu au mimi ndiyo sielewi? Asanteni.🙏
  4. Papaa Mobimba

    SI KWELI Rais wa Klabu ya Yanga, Hersi Said asema hajapendezwa na jezi mpya za klabu hiyo

    Kupitia ukurasa wake wa X amesema "Kiukweli sijapendezwa na hizi jezi mpya za 2024/2025 maana zinafanana na vijora kwa hali hii nawaahidi wananchi hadi kufikia siku ya Mwananchi tutabadili hizi jezi na kitengo cha ubunifu wa jezi kitapewa onyo kali kwa kuidhalilisha brand ya Yanga"
  5. Smt016

    Mashabiki wa Simba wamepekua jezi za Yanga wakaona mkono na tano ila wameshindwa kuzipekua jezi zao wakaona 1 5

    Jezi za Simba zilitangulia kutoka kabla ya jezi za yanga, mashabiki wa Simba walisifia ubunifu ila kasoro ikawa ni neno SANDA peke yake. Sijajua mbunifu wa jezi za Simba aliwaza nini kuweka 1 5 kwenye jezi za Simba lakini uzuri hakuna aliyechukulia hilo kama nia mbaya ama mashabiki wa Simba...
Back
Top Bottom