SIWEZI KUDANGANYA, KUMWONA RAFAEL LEÃO AKIVAA JEZI NAMBARI 7 YA URENO INALEA HISIA ZA AJABU SANA.
Hata masaa 48 hayajapita tangu Cristiano Ronaldo aondoke katika kampi ya Ureno, lakini jezi hiyo yenye heshima kubwa ya Nambari 7 tayari imepewa mchezaji mwingine. Rafael Leão amekabidhiwa jezi...