Jana pita pita yangu, nimeikuta jezi ya Yanga nimeambiwa 45 elfu. Nia ilikuwa ya kununua na kufanyia mazoezi.
Nilidhani elfu 5 tu.
Najiuliza hivi mtanzania maskini ananua majezi ya club kwa bei hizi badala kutumia hela kusomesha watoto wake?
Hivi tumerogwa wapi
Mimi ni shabiki wa Young Africans (Yanga) nahoji uhalali wa rangi nyeupe kwenye jezi yetu nyeusi je uhalali wake ukoje au timu yangu haina rangi zake maalumu au mimi ndiyo sielewi?
Asanteni.🙏
Licha ya kujaza Wacongoman kibao kwenye timu yao, sijaona jezi ya Yanga kwenye picha hii ya wachezaji wa timu ya taifa ya DRC wakiwa na jezi za club zao
Tunasajili magasa tu?
Bila blah blah nadhani wote tulishuhudia kilichotokea mexhi ya Yanga dhidi ya Al Ahly hasa baada ya mgeni(Ahly) kutangulia kupata goli la uongozi baadhi ya mashabiki wakiwa na jezi nyekundu walionekana wakivunja na kuruka juu ya viti kushangilia goli lile la uongozi kabla Yanga hawajasawazisha...
Sasa ni rasmi goli la Pacome Zouzoua dhidi ya Al Ahly limechaguliwa kuwa goli bora la Juma (week) la Total Energies CAF Champions League.
Sasa nimeelewa kwanini jezi ya Yanga imetumika kwenye video ya wimbo rasmi wa AFCON 2023 badala ya jezi za Taifa Stars.
Yanga imekuwa maarufu Sana viunga...
Tangu tuwafunge Makolo naona mitaani jezi ya Yanga imetawala huku ni nadra sana kukutana na mtu kavaa jezi ya Simba.
Kila ninapopishana na watu kumi basi wawili au mmoja kavaa jezi ya Yanga
Hakika kuwafunga Makolo kuna raha yake tena uzuri zaidi tumewashindilia za kutosha
Sijui kama Makolo...
Waziri wa michezo wa Rwanda Akipokea kwa niaba ya Raisi Kagame .
https://m.youtube.com/watch?v=OKCQOPb1DkM
Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said mapema leo ametoa zawadi ya jezi kwa Rais wa Rwanda Paul Kagame kama sehemu ya kutambua mahusiano mema na mapenzi ya Kagame katika michezo.
Zawadi hiyo...
Mpaka sasa ndani ya masaa 3 tu toka picha ya kwanza kupostiwa Instagram ya jezi za Simba, imepata likes 111,077 na comments 10,401.
Video ya jezi ya Yanga wakiwa Ikulu ya Malawi iliyopostiwa toka July 5, zaidi ya wiki mbili zilizopita mpaka dakika hii imepata likes 60,085 na comments 1,918 tu...
Kuna Mtu anakujua ndani nje aliwahi kuniambia kuwa Sifa yako Kuu ni kuwa Mnafiki na mwepesi Kununuliwa na Kusaliti nikawa namkatalia ila kwa Upuuzi ulioufanya leo kwa Kuvalia Jezi ya Yanga SC huku ukijijua Wewe ni mwana Simba SC lia lia nimemuamini huyo Mtu.
Poleni ila leo nina Furaha isiyoelezeka.
Nichukue tu nafasi hii Kuwashukuru Klabu ya USM Alger Wachezaji na hasa hasa Kocha wao ambaye si tu anajiamini ila hata alipotua nchini alipohojiwa alisema ameshaiona Yanga SC na kwamba ni wepesi na atawafunga Dar es Salaam na kule Kwao Jijini Algiers nchini Algeria.
Poleni na leo nina Furaha...
Yanga inaweza kuwa na msimu mbaya kuliko mingine yote katika historia yake tangu kuanzishwa kwakwe.. Nimetumia neno INAWEZA kwakuwa bado ina nafasi ya kufanya jambo
Rangi, maumbo na michoro kiroho huwakilisha vitu vikubwa sana.. Na in fact hesabu za kiroho ziko kwenye hayo mambo matatu..RANGI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.