Wakati Simba ilipozindua jezi mpya ya msimu huu wa 2024-25 na jezi hizo kuja na nembo mpya ya Sanda iliyozua gumzo kubwa, mimi ni mmoja wa watu waliopaza sauti nikitoa hoja na wasiwasi wangu kuhusu kilicho nyuma ya nembo hiyo mpya.
Moja ya kitu nilichomalizia kusema mara ya mwisho nilipoongelea...
Watu wengi wameandika kuwakosoa lakini hii ni ishara kuwa mmefanya kitu kizuri machoni pa watu.
Maboresho mnayoendelea kuyafanya kila Mwaka yanatia matumaini ya kufika mbali zaidi kuliko kutokufanya chochote.
Naupongeza uongozi Mzima kwa kuja na kitu kizuri ukiachilia mbali mapungufu madogo...
Mimi ni shabiki lakini lazima ukweli usemwe, Simba tunakwama wapi kwenye kutengeneza jezi kali? Hizi zinatofauto gani na yale matambara ya kwenye mitumba karume? Kwamba designer amelipwa mamilioni kutoa huu uchafu?
Sijui tunakwama wapi.
#UBAYA UBWEGE