jezi za simba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shanily

    Ali Kamwe aombe radhi yaishe asilete ujuaji wake

    Defamation Haina uzito kwa tz tu kwakua watu wanachukulia poa, lakini kwa nchi za wengine ni bonge la case. sio kosa kuponda jezi za Simba, kosa ni kutaja jina la mtengenezaji na msambazaji. kataja neno sanda ni kuharibu brand ya watu. Sanda ni brand ndomana jina la sanda linasoma kwenye jezi...
  2. GENTAMYCINE

    Tusidanganyane wala Kuficha Uzi wa Yanga SC kwa CAFCL ni mzuri kuliko Wetu wa Simba SC wa CC

    Sijazoea Unafiki na najua kwa huu Ukweli wangu nitachukiwa mno na wasiopenda Ukweli na Wadau wa Unafiki. Yanga SC wametuzidi Simba SC kwa Jezi nzuri katika Michuano ya Kimataifa inayoenda kuanza hivi karibuni.
  3. SAYVILLE

    Kwanini Taifa Stars hawavai nembo mpya ya Sandaland (SANDA)?

    Wakati Simba ilipozindua jezi mpya ya msimu huu wa 2024-25 na jezi hizo kuja na nembo mpya ya Sanda iliyozua gumzo kubwa, mimi ni mmoja wa watu waliopaza sauti nikitoa hoja na wasiwasi wangu kuhusu kilicho nyuma ya nembo hiyo mpya. Moja ya kitu nilichomalizia kusema mara ya mwisho nilipoongelea...
  4. P

    Viongozi wa Simba vaeni jezi za timu yenu kama hamuwezi vaeni za Yanga.

    Jana tarehe 3/8/2024 ilikuwa ni siku ya Simba day. Ni siku ya pekee kwa wapenzi wa Simba katika kutambulisha wachezaji wapya, bench la ufundi, jezi n.k. Tunajuwa viongozi siku zote wanakuwa mfano, ila hapo unyamani kuna baadhi ya viongozi hawosomeki sijuwi ni hawataki kuonyesha utambulisho wao...
  5. Mwamuzi wa Tanzania

    Mimi nilijitoa masomo ya sayansi. Hawa wanasayansi wa kujadili jezi za Simba na Yanga tusahau kuona uvumbuzi mpya

    Hello! Sometimes najuta kuacha masomo ya Sayansi mapema sana, ila muda mwingine naona kuwa nilifanya uamuzi sahihi nikiangalia wenzangu waliokomalia hayo masomo ya Sayansi almaarufu physics na Chemistry. Wale niliosoma nao Ordinary level na wakaendelea na masomo ya Sayansi mpaka sasa...
  6. B

    Kama SANDA ndo brand mbona haipo logo ya SANDA kwenye maduka yao?

    Akili kichwani. Hisia moyoni. Vaa usivae utajua wewe mwenyewe,ila kuna mambo yakipuuzi sana simba hivi hawakutazama kwa jicho pili?
  7. realMamy

    Pongezi kwa Timu ya Simba kwa kutoa Jezi nzuri na zenye kuvutia watazamaji na wavaaji pia

    Watu wengi wameandika kuwakosoa lakini hii ni ishara kuwa mmefanya kitu kizuri machoni pa watu. Maboresho mnayoendelea kuyafanya kila Mwaka yanatia matumaini ya kufika mbali zaidi kuliko kutokufanya chochote. Naupongeza uongozi Mzima kwa kuja na kitu kizuri ukiachilia mbali mapungufu madogo...
  8. babu onyango

    Hili neno SANDA liondolewe mara moja kwenye jezi ya Simba

    Hii haikubaliki hata kidogo, Neno Sanda haliwezi kukaa mbele ya jezi ya klabu yetu, tena kifuani kabisaa. Uongozi wa Simba mbona mmelala sana? Haya mambo yanawezaje kufanyika na ninyi mpo? Hata kama SANDA ni ufupisho wa jina lake, basi ndio aliandike mbele ya jezi yetu? Yaani kwq mfano...
  9. UMUGHAKA

    Viongozi wa Simba walioruhusu jezi za msimu mpya kutoka huku kifuani kukiwa na neno "SANDA" watakuwa na matatizo ya kiakili

    Usinchoshe na Nsikuchoshe,Tusichoshane! Kwanza nikiri ya kwamba Mimi ni shabiki wa kutupwa wa Young Africans Nikiwa kama mdau wa soka na mpenda maendeleo ya mpira,nimekuwa nikivutiwa na namna ambavyo soka letu limekuwa likioiga hatua,licha ya kucharuana,kutaniana na hata kuzodoana lakini...
  10. SAYVILLE

    Naanza kupata wasiwasi na Sandaland kama mtengenezaji wa jezi za Simba

    Tuweke kwanza pembeni ukweli kuwa huyu muuza nguo anayejiita Sandaland aliyewekwa front kwanza hajui kuvaa sasa sielewi inakuwaje anafanya biashara za nguo wakati anavaa kama Kibu Denis. Twende kwenye mada kuu..... Nikipitia kwa haraka jezi ya Simba iliyozinduliwa leo, kuna mambo mawili...
  11. MwananchiOG

    Tuache utani Jezi za Simba ni MBAYA

    Mimi ni shabiki lakini lazima ukweli usemwe, Simba tunakwama wapi kwenye kutengeneza jezi kali? Hizi zinatofauto gani na yale matambara ya kwenye mitumba karume? Kwamba designer amelipwa mamilioni kutoa huu uchafu? Sijui tunakwama wapi. #UBAYA UBWEGE
  12. Heparin

    Jezi rasmi za Simba msimu wa 2024/25

    Timu ya Simba imetambulisha rasmi jezi zake itakazozitumia msimu wa 2024/25. Karibu kutazama uzi huo.
  13. C

    Ninachokiona kwenye jezi za Simba kama ni kweli, Yanga wapo level nyingine kabisa

    Neno "Sanda" kwenye jezi ya Simba, nina uhakika halijakaa pale kwa bahati mbaya. Simba kuna viongozi wapumbavu sijawahi kuona. Na ndio maana sioni Simba ikienda mbali kwa hawa viongozi wasio na aibu kuharibu brand ya Simba kwa kuwavalisha mashabiki "Sanda" Ninaamini kuwa viongozi wa Yanga wana...
  14. Gulio Tanzania

    Sijapendezwa na uzinduzi wa jezi za Simba kuwekwa majina ya viongozi

    Ni jambo la kushangaza kwa kile kilichofanyika na club ya simba kuchanganya mpira na siasa Nilipendezwa na wazo la club ya simba kutambulisha jezi yao kwenye mlima mkubwa zaidi Afrika hivyo kufanya kuwa kivutio kikubwa kinachotambulika dunia nzima niliona ni jambo jema Leo mida ya asubuhi...
  15. Mwanadiplomasia Mahiri

    Nimezichungulia jezi za simba sports sijaridhika nazo

    Watu wa msafara wa kusambaza jezi za simba mikoani hasa maduka ya vunjabei wamepitia hapa nilipo. Jamaa yangu aliyepo kwenye msafara akanionesha jezi za simba zitakazozinduliwa baadae jioni. Sandaland ameleta jezi ambazo sijazielewa kwakifupi ni chini ya kiwango. Wana simba punguzeni matarajio
  16. M

    Vunjabei always disappoints

    Huyu jamaa nadhan akimaliza mkataba asiongezewe tafadhali sana. Nadhani Simba waingie mkataba na mtu tofaut halaf huyo mtu aingie ubia na fred awe anauzia jezi kwenyw maduka yake. Always ana dissapoit. Low quality jersey (jamaa anatoa jezi kama nguo zake hata aibu haoni) jezi ya mwaka huu...
Back
Top Bottom