Jana kuna Mdau alielezea swala la ujiio wa wachina na kuanzisha Migahawa na Car wash .
Soma pia: Video: Ni kama masihara hivi lakini polepole Mikocheni na Masaki zinaenda kutawaliwa na Wachina
Naona Clouds wamekopi kila kitu Ila wameshindwa kutoa Appreciation yoyote jambo hili sio zuri Sana na...