Msaada jamani😒
Nina mtoto wa miezi 9 na week 3 sasa hawezi kaa kwa kujitegemea kwa muda mrefu akikaa kidogo anaanguka ijapokuwa yupo active kuanzia mikono kushika shika vtu na miguu kuitupa na kuikunja ndio zaidi
NB:alichelewa kukaza shingo nikajithd na mazoez niliyoelezwa ila nikaambiwa akifika...