Leo nimewaza, kweli kutojuana kunatupa nguvu humu JF.
Binafsi, nina uhakika wapo watu tunafahamiana kwenye maisha ya kawaida ila ID zimetuficha. Hata huko kwenye replies watu wanavyotiana spana, inawezakana unabishana na boss wako na hujui.
Wale wa kujidai huko PM, ndiyo basi tena. Hivi hakuna...
I hate you all. I dont care. Siishi maisha yangu kwa ajili ya yoyote. Nilikuja duniani kivyangu na nitaondoka kivyangu.
I don't care about anything sasa hivi simuamini yoyote hata mtoto mdogo.
Wasaliti, wadhulumati na waonevu wote kufeni wote na msifufuke hata mkifa katika Yesu.
Nyau nyie
Mwaka ndo huo una elekea kuisha, kila mmoja ana mtazamo wake wengine furaha au huzuni.
👉Tukija Humu jf Kuna baadhi ya member wame kuwa na mapenzi yaliyo pitiliza kwa mtu au kitu kwa Mwaka huu 2023.
1, Lucas mwashambwa dah huyu brother nahisi tuki mchanja damu yake tuta kuta dna za chama chake...
Namshukuru sana Mungu kwa kunipa neema ya kuongeza mwaka mwingine. Nashukuru leo nimetimiza miaka kadhaa kwa kuingia floor mpya ya majukumu.
Mwaka huu umekuwa wa neema sana kwangu mwenyezi Mungu anazidi kunipigania. Kweli tunazeeka na miaka inaenda sana. Happy birthday to me.
Intelligent...
Kila mmoja ana pitia changamoto hapa duniani, iwe changamoto ya kifedha, uchumi,msiba na hata mahusiano.
👉 Ila kumekuwa na tatizo kwa baadhi ya wanna jamii, ambao wamekuwa wakishindwa jinsi ya kukabiliana na changamoto hizo.
Na hii hupelekea wao kujiona Kama walioshindwa, laaniwa au kutokuwa...
Kwako ndugu na Kaka yangu National Anthem, Tumekuwa marafiki wa muda mrefu katika dunia hii ya Kufikirika.
Furaha yako imekuwa furaha yangu pia, nichukue fursa hii kukupongeza wewe na mkeo kwa kufanikiwa kupata watoto mapacha siku ya jana😍😍.
Kheri ikawe kwenu na kwa familia yenu, nawa ahidi...
Hi ni yako, rafiki yangu mpendwa trudie
Mwenyezi Mungu akubariki katika ulichopewa na umshukuru aliyekupa, na afike kuwa mkubwa, na uruzukiwe wema wake. Na aliyepongezwa atamuombea aliyempongeza kwa kumwambia:
''Mwenyezi Mungu akubariki na ateremshe baraka juu yako, na Mwenyezi Mungu akujaze...
Hello habari,
Nimeona niadhishe hii thread kwasababu watu wengine siku zao zinakuwa mbaya wanakwazika lakini hawana watu wakuwapa pole hawana watu wakuwafariji au ata kuwapa ongera kwa hatua waliyo fikia kwa siku hiyo.
Nianze na mimi;
Mimi siku yangu ilikuwa mzuri sana lakini ilikuja...
Mimi hakyanani nimempania sana huyu Member aitwae SAGAI GALGANO, kwani anatuchukia mno sisi wana Yanga SC, na kila siku ni lazima tu aanzishe nyuzi za kuisema tu vibaya Yanga SC yetu.
Habari za leo wakuu.
Siku ya leo nimeguswa sana kutambua mchango wa member mwenzetu ip_mob aliyetangulia mbele za haki. Ame play part kubwa sana katika mafanikio yangu, kwa bahati mbaya ametangulia hata kabla hajasuhudia matunda ya mchango wake kwangu.
Kama mnakumbuka around mwaka 2018 na 2019...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.