Wakuu katika kupitia nyuzi mbalimbali humu nimegundua hili jukwaa lina wanafunzi wengi sana, hasa kidato cha 5 au chini ya hapo, pia wanavyuo.
Hivyo basi ni vyema walimu na watu wenye uzoefu tuwasaidie hawa watu ili wafanye vyema katika masomo yao kwa wenye nia njema. Jukwaa hili ni muhimu na...