Nchi ya Tanzania ni nchi iliyobarikiwa Sana kwa rasilimali nyingi na yenye watu wenye wenye moyo na kuwajibika. Nchi yetu iliweza kupambana na kuondoa ukoloni na pia kuingiza sera ya ujamaa na kujitegemea.
Katika hili tunajivunia kuwa na viongozi waliokua na maono juu ya nchi yao na kuwa na...