Nipo mjini Dsm zamani waliliita jiji la Dsm. Nimekuja na ndege iliyonunuliwa awamu iliyopita na nimepanda madaraja mawili ya awamu ya Tano. Nilipita MFUGALE nikaiona Buguruni kwa chini ikiwa bado chakavu na yenye foleni ya malori. Baadaya nikatoka posta kwenda kunywa kahawa mlimany city nikasema...
Ni siku nyengine tuseme asante Mungu kwa kutuamsha tena.
Naomba niende kwenye mada.
Leo alfajiri nimepigiwa simu na mshakaji wangu wa kipindi Fulani hivi tuliendana sanaa ila ndio harakati za maisha zilitutenga.
Yeye kwasasa ni muuza mayai na alisoma engineering. Jamaa anasema biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.