Mtu yeyote akisimama mbele ya mkusanyiko wowote wa Watanzania akatoa kauli ya kwamba, ili kuwe na maenendeleo makubwa na kumfikia kila mtanzania, kunahitajika mabadiliko makubwa katika utawala na uwajibikaji serikalini; hakika hakutakuwa na mjadala.
Ila mjadala utakuwepo, tena mkali; ikitakiwa...
jicholatatukatikakusimamiauwajibikaji
katiba mpya
katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania
mabadiliko katika utawala
mabadiliko katikauwajibikaji
maendeleo ya mtanzania wa kawaida
mwongozo wa utawala bora
tume ya haki za binadamu na utawala bora
usimamizi wa serikali
utawala bora