jihadhari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    Jihadhari sana kabla hujamkopesha mtu, Kuna wengine kila anayemkopesha anakufa au anapata ugonjwa mbaya sana

    Shika neno hili. Kuna mtu ukimkopesha Hela, kila mara unakuwa mtu wa kupoteza simu na mtu msahaulifu. Mtu mwingine ukimkopesha Hela Yako, anakupeperusha, unajikuta bila sababu yoyote umehamia mbali na eneo la mdaiwa wako. Mtu mwingine ukimkopesha Hela, unajikuta unaanza kuandamwa na makesi ya...
  2. Nibiru X

    Jihadhari na jumbe hizi; usiingie link ya “UNICEF Foundation Africa”

    Halo wanna intelligent, Lengo la kuja hapa ni kukupa taahadhari Kuna jumbe feki zinatembea mitandao ya kijaamii kua unicef Africa inagawa hela za bure kwa watu huo ni utapeli na UNICEF wamesema hawafanyi huduma hio watu wanaingiliwa acc Kisha inaandika umepokea mill 2700000 from UNICEF hao ni...
  3. Tlaatlaah

    Jihadhari na mapenzi siku za sikukuu

    Huwezi amini, muda huu jamaa na pisi kali yake ndio wanamalizia kuambukizana ukimwi, gono, kaswende UTI sugu kwa styles kama zote na wengine wanajipanga kufanya hivyo leo jioni na usiku wa mwaka mpya 2024 ili waanze mwaka mpya na maradhi dah! Kuwa makini na afya yako au tumia kondomu.
  4. Pdidy

    Tukielekea sikukuu jihadhari na kuacha chakula ama kijywaji mezani..Usimwamini mtu wamelia wengi

    WAPENDWA TUKIELEKEA SIKUKUU MUHIMU KUWA MAKINI HASA MNAPOENDA BAR KULA AMA KUNYWA KAMA HAUKO NA MWENZIO UKAVAMIA MEZA YA MTU JITAHIDI USIENDE MSALANI UKAACHA VINYWAJI AMA CHAKULA MEZANI UTALIA HII NIMEIKUTA MWAKAJANA MOSHI MTU KALIA VIZURI TUU NIKAMA WALISHAMJUA ANAGARI AKAJICHANGANYA...
  5. S

    Katika jambo la ovyo na la aibu amefanya mwenyekiti wa CCM ni kumteua Makonda kuwa Katibu Mwenezi wa CCM

    Huyu rais na mwenyekiti wa CCM ni kwamba kuna watu wanamwendesha km gari bovu au ni akili yake. Km ni kuendeshwa kwanini akubali akili zake hazimtoshi? Aibu atakayoipata kumteua huyu bwana hatakaa asahau. Kwanza tukubaliane Makonda ni miongoni mwa wale binadamu wenye akili ndogo sana hapa...
  6. KING MIDAS

    Jihadhari na wanawake hawa, wengi wao wana vinasaba vya wapenzi wao wa zamani

    Kuna siri ambayo wanaume hawaijui kuhusu wanawake. Wanawake wenye umri wa miaka 18-22 wana mapenzi ya kweli. 22-24 wana mawenge. 24-27 wanajitambua. 27-30 wana hofu na mashaka mengi. 30-35 wana msongo wa mawazo. 35-42 ndoa nyingi huvunjika. Kwa hiyo, kuwa makini na wanawake hasa wanawake wa...
  7. CK Allan

    Jihadhari na huu Utapeli wa kumdhamini tapeli kwa boda boda

    Aisee tujihadhari na huu wizi, Leo Nikiwa ofisini namba +255694480796 Ikanipigia Ile napokea tu jamaa akajitambulisha ni mwalimu magunga shule ya msingi ameomba namba yangu hapo kwa mtu, Ananiomba nimpe namba ya kijana wa piki piki ninayemuani chap ana haraka sana! Basi Mimi Bila kuwaza...
  8. S

    Zama zake zimepita. Jihadhari sana na kauli au maoni yako juu yake hapo kesho

    Tuko zama za anaupiga mwingi na maridhiano. Hivyo ewe kiongozi mteuliwa kuwa mwangalifu utakapokuwa unatoa maoni kuhusu bwana yule hapo kesho, maana Zama zake zimepita na kitabu chake kimefungwa. Maoni yako yakikolezwa Sana sifa itakula kwako. Kama ikiwezekana wakwepe Sana waamdishi wa habari...
  9. Extrovert

    Jihadhari na overtake za aina hii

    Hawa jamaa kama wamepona wana Mungu sana. Mara zote tunakumbushana kuwa Highway sio sehemu ya mchezo. Hii overtake ambayo inafanywa kwa mtindo wa "Tailing" madhara yake ni kuwa hutaona mbele na wa mbele yako ni rahisi sana kukuuza. Keep your heads up, make sure unaona mnyooko ndio unatoa gari.
  10. Mr George Francis

    Jihadhari na Upatu, ukidhurumiwa hutopata haki yako

    JIHADHARI NA UPATU, UKIDHURUMIWA HUTOPATA HAKI YAKO. Siku hizi limeibuka wimbi kubwa la watu wanaojifanya kuanzisha na kuendesha mpango wa uwekezaji wenye faida kubwa huku wakitumia ushawishi kuwarubuni wengine wajiunge katika mpango huo wanaounadi kwamba ni uwekezaji wenye faida kubwa ndani ya...
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    Jihadhari, unataka kumuoa nani? Kuna watu wana roho ya mauti ukigusa tu, mauti inakufuata

    Roho ya mauti ni mbaya sana, kabla hujaingia kwenye mahusiano na mtu, jitahidi umjue. Jua atleast mahusiano yake matatu nyuma yaliishaje, yalikuwaje? Kuna mtu ukiingia naye tu kwenye mahusiano, unaanza kuugua, kazi zinaharibika, biashara zinakufa, ufukara unaingia na mambo yote kuyumba. Hebu...
  12. N'yadikwa

    Maroboti ya kielektroniki 'misukule ya kielektroniki' ndo future ya kutawala ulimwengu wa dijitali

    Lugha hutoa fursa nyingi sana za utumiaji wa vipawa vyetu kama binadamu... Lugha huakisi akili wa yaliyomo katika bongo, fikra na hisia zetu kama biandamu... Badala ya kila mara kuweka mawazo yetu katika maneno yetu wenyewe, mara nyingi sisi huwasilisha hisia zetu kupitia maneno ya wengine...
  13. Kichwamoto

    Rafiki Mnafiki jihadhari nae

    1.Chunga usilie chozi mbele yake 2. Akikutoa mtaroni ukiwa hospital atakusahau 3. Ukiwa huna pesa au hupati maendeleo kwake furaha 4. Hata mchumba, mpenzi, mkeo atamla au atamtaka. 5. Majungu atakusema sana 6. Chake chake Chako chenu 7. Ukipata wewe umebahatisha Yeye akipata anastahili...
  14. P

    Nani wa kulaumiwa: BeFoward au kampuni iliyouza gari?

    Jamaa yangu alinunua gari kwa njia ya mtanda kisha akatumia kampuni ya Befoward ili ku clear na kumfikishia mahala alipo. Ukweli ni kwamba alifikishiwa mkoani mahala alipo ila gari ilikuwa imenyofolewa vipuri muhimu kiasi kwamba ametumia ghalama kubwa sana kuiweka gari hiyo katika hali nzuri ya...
Back
Top Bottom