Mwanza, Mbeya, Arusha, Dodoma na Tanga ni VIJIJI VIKUBWA
Nje ya Dsm ni ngumu kukuta jiji lenye mjumuiko wa vitu zaidi ya vitano vifuatavyo
Mji kuwa wazi walau hadi saa tano usiku
Mzunguko wa pesa angalau 1/3 ya dsm
Maghorofa zaidi ya 5 yaliyovuka ghorofa 10
Uwanja wa ndege wenye Destinations...