Meya wa Jiji la Arusha, Maxmillian Matle Iranqhe, amesema Halmashauri ya Jiji hilo imetenga zaidi ya shilingi bilioni 4 kwa mwaka wa fedha 2025 kwa ajili ya kuboresha miundombinu, ikiwemo ununuzi wa mitambo ya kutengeneza barabara.
Akizungumza na waandishi wa habari Februari 26, 2025, Meya...
Kwanza nimpongeze sana mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa jitihada zake za kusaidia wananchi;
Naamini na hili lipo kwenye mpango kazi wake ila kwa kuchangia tu;
Kuna vipande vitatu vya Barabara VIFUPI KABISA ila vina sababisha jiji la ARUSHA lisimame Asubuhi na jioni...
1. Ukitoka mnara wa Saa...
Nimetembea Dar, Mwanza, Mbeya, Dodoma, Tanga na Arusha yenyewe ambako kuna yanayoitwa majiji ya nchi yetu, niseme tu watu wa jiji la Arusha wanaongoza kwa unadhifu na usafi wa binadamu na mazingira.
Yani hata ukipanda daladala (wenyewe wanaita hiace/Haisi) za Arusha harufu ya kwenye daladala...
Kuna tatizo la maji katika jiji la Arusha eneo la Njiro tangu jana mchana mpaka leo. Sijui kama ni kwa eneo ambalo nafanyia kazi au na maeneo mengi ya jiji.
Hebu mamlaka husika ilifanyie kazi.
cc Wizara ya Maji
Huu ni utani na wananchi ambao hawana ajira. Jiji la Arusha mlifikiria hili mkiwa wazima wa afya. Enyi serikali hebu wajarini wananchi wenu kwa usawa.
Watu hawana ajira, inatokea ajira ya muda badala muwape ajira wasiokuwa na ajira mnawapa wenye ajira?Wacha tukae bila ajira Wala pesa...
MBUNGE ZAYTUN SWAI ATIMIZA AHADI YAKE YA MILIONI 12.5 KWA UWT JIJI LA ARUSHA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Mhe. Zaytun Seif Swai ametoa Shilingi 12.5 kwa UWT Jiji la Arusha ikiwa ni ahadi yake aliyotoa kwa kutoa Shilingi Laki Tano (500,000) kwa kila Kata ya Mkoa wa Arusha kwaajili ya...
Ameandika Godbless E. J. Lema kwenye mtandao wa X kuwa:-
"Naambiwa vijana wengi leo wa boda boda wamepata ajali mbaya ktk mashindano haya na wengine watatu wamefariki wakitokea ktk mashindano hayo huko Ngaramtoni leo. Zuieni huu UPUUZI ambao hautazamani wala kuzingatia regulation zozote za...
Arusha ni jiji lenye hadhi yake ya kipekee katika nchi yetu.kwanza ni jiji la kitalii na pili lina utamaduni wake wa kipekee sana.
Changamoto ipo katika mtazamo kabla hujalifikia hili jiji,picha unayokuwa nayo kichwani ni kwamba arusha ni mji mzuri sana,uliostaarabika sana na wenye...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linao wajibu wakisheria wa kuwalinda raia na mali zao huku likibainisha kuwa limepokea maelekezo ya Mwenyekiti wa Ulinzi Mheshimiwa Paul Makonda aliyoyatoa hivi karibuni.
Kauli hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha SACP Justine Masejo...
Mkurugenzi wa Mashtaka nchini DPP, amemfutia Kesi na kumfungulia mpya mbili za Uhujumu Uchumia aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dkt. John Marko Pima na wenzake watatu.
Kesi hizo zimefunguliwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha zikimkabili na wenzake watatu.
Kesi hizo zina mashtaka...
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dk John Pima na wenzake wawili wameshinda rufaa waliyokata kupinga hukumu ya kifungo cha miaka 20 jela iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha.
Hukumu hiyo imesomwa leo Ijumaa, Februari 16, 2024 na Naibu Msajili wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha...
Miundombinu mibovu ndani ya jiji la Arusha.
Barabara za lami,ndani ya jiji la Arusha barabara nyingi za lami ni nyembamba na haziendani kabisa na wingi wa magari yaliyopo.
Barabara za vumbi,jiji la Arusha limezungukwa na barabara za vumbi kila kona,hii ni aibu kubwa sana kwa jiji ambalo...
Halmashauri ya Jiji la Arusha imetenga kiasi cha Sh milioni 380 ili kurudisha miundombinu ambayo imeanza kuharibika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Arusha.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jij la Arusha, Juma Hamsini alisema hayo juzi wakati akizungumza katika mkutano wa madiwani...
Leo hii nimebahatika kupita jijini hapa na kushuhudia hali ya jiji hili bila ya kuwepo daladala.
Mbali na adha wanayopata raia wanaotumia usafiri huu wa ndani. Mji umekuwa nadhifu na wa kupendeza sana. Jam zimepungua lakini pia makelele na vurugu za daladala.
Ni wakati sasa wa mamlaka...
Uuzaji na ubinafsishaji wa mali za wananchi watua huko Kilimanjaro. Kuna kila dalili hali ikawa mbaya kwa wananchi waliojenga mahotel ya Kitalii arusha mjini kwani:
1. Watalii watashuka uwanjani watalala hapo hapo uwanjani na asubuhi wataondokea hapo kwenda National Park.
2. Wakitoka National...
Wakili wa utetezi Valentine Nyalu, aliyekuwa anawawakilisha aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Dk John Pima (44) na wenzake wawili wanaokabiliwa na makosa manane katika kesi mbili za uhujumu uchumi, amejitoa kuwawakilisha watuhumiwa.
Wakili huyo amechukua uamuzi huo leo...
Aliyekuwa mkurugenzi wa halmashauri ya Jiji la Arusha, Dk John Pima (44) na wenzake wawili leo Juni 22, 2022 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha wakikabiliwa na kesi nyingine ya uhujumu uchumi yenye mashtaka sita ikiwemo mawili ya utakatishaji fedha.
Wengine ni Mariam Mshana...
Sakata la Mkurugenzi Jiji la Arusha, Halmashauri inapaswa kuvunjwa
Jana Mbunge wa Michongo wa Arusha mjini alisikika akilalamika mbele ya Waziri Mkuu kuhusu tuhuma kadhaa ambazo zinamkabili Mkurugenzi wa Jiji!
Mosi huyu Mbunge akumbuke kuwa hana uadilifu wa kukemea ufisadi wa aina yoyote maana...
Siku moja Kaka mmoja wa kimasai ,katika harakati zake za kutembeza mikanda ili kuiuza,
Alikutana na mteja, akawa akimwonyesha hiyo mikanda bila kuweka chini bidhaa zake,
Akaja mgambo akamkamata,
Kijana akahoji kosa lake ni nini?
Mgambo aka endelea kung'ang'ania zile bidhaa bila maelezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.