Pamoja na Jiji kuwa na makusanyo mengi ya Kodi lakini ni Jiji ambalo liko nyuma kwa upande wa barabara za mitaa!
Mitaa ya zamani kama Mwanjelwa, Nzovwe, Soweto, Uyole barabara hakuna ni mashimo tu.
Mitaa mipya ambayo wakati mwingine imepimwa na viwanja kuuzwa na Jiji hakuna hata barabara nzuri...