Sijui ni viongozi wa MWAUWASA wanataka kumgombanisha mama na wananchi kwa makusudi au ni vipi.Yaani maji yanaweza kukosa mwezi mzima na viongozi wapo tu ofsini.
Wizara ya Maji chini ya AWESO em fatilia hili limekuwa kero inayojirudia mara kwa mara.Mama anamwaga fedha nyingi sana kwenye MAJI ila...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji mkubwa wa fedha katika sekta ya maji katika Jiji la Mwanza kwani miradi mingi inaendelea na ikikamilika changamoto ya maji itategemewa kubaki historia.
Waziri Aweso ameyasema hayo...
Watu wa Mara = Wajita, Wajaluo, Wakuria, Wazanaki, n.k.
Ni kwanini wahamiaji wengi wa fursa ni wa mkoa wa Mara kuzidi mkoa wa karibu wa Shinyanga, na Kagera ?
Ni kipi kinawapa Hamasa watu Mara kuondoka mkoa wao kuja Mwanza ?
Ni kwanini wenyeji wa Mwanza wana uwakilishi mdogo kwenye fursa za...
Kuna jambo ambalo ni mhimu na turufu kubwa sana katika nyanja ya kiuchumi, ni pamoja na kuwa na wanasiasa wenye ushawishi mkubwa, Arusha ilishajiweka vizuri sana kwenye eneo hili, Arusha inaongoza kwa kutoa Mawaziri wakuu nchini, hii ni nzuri kwao katika kuishawishi serikali kupeleka maendeleo...
Mimi ni mmoja wa Waandishi wa Habari wa hapa Mwanza, kero yangu ni kuhusu Mamlaka za Halmashauri za Jiji kutotupa ushirikiano baadhi ya Waandishi wa Habari tunapohitaji taarifa mbalimbali hasa hasa takwimu na zile zinazohusu miradi iliyotumia pesa kutoka Ofisi za Jiji.
Kumekuwa na danadana...
Wachumi njoo mnisaidie kitu hapa.
Mimi ni mtumishi kwenye shirika moja la maendeleo, na mshahara wangu ni Milioni 2 na laki 8 ila kutokana na sheria na taratibu za nchi ninatakiwa nilipe PAYE kiasi cha 668000, hapo ninabakiza kiasi cha 2,132,000 hivi kiasi ambacho bado ninahitakija kulipa bima...
Habari wakuu,
Katika Pitapita zangu Juzi nilibahatika kupita Jiji la Mwanza baada ya miaka mingi kupita, Ni wazi kwamba niliwahi kuishi Mwanza miaka kadhaa nyumba baada ya kutoka mkoani, Kusema kwel kwa Umri ule na kipindi kile kwa kuwa nilikuwa sielewi lolote kuhusu Jiji nilitokea kupapenda...
Mh.Rais atakuwepo jijini mwanza katika tamasha la kukuza mila za ziwa Viktoria ( BULABO) tamasha ilo litafanyika kisesa mwanza.
Nyote mnakaribishwa....
Mhasibu wa Idara ya Mapato ya Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Amon Joseph (41) amefariki dunia katika ajali ya gari akienda kwenye maziko ya baba mzazi wa mhasibu mwenzake, yaliyotarajiwa kufanyika leo wilayani Kwimba mkoani hapa.
Akizungumza na Mwananchi kwa simu Jumanne Juni 4, 2024, Kamanda...
Kama kuna aliyetuloga nchi hii basi tumtafute tufanye tambiko laana na uchawi utuepuke, nimefika stendi ya mabasi nyamhongolo nadiriki kusema tumelaaniwa yaani mazingira ya nje kuanzia barabarani hovyo kabisa.
Hivi nawauliza mliwaza nini kuacha mazingira yanakuwa ya hovyo kiasi hiki?
Twende haraka kwenye mada,
Taarifa zilizotufikia Kutoka vyanzo vya kuaminika zinadai kuwa Hali ni Tete mitaani,
Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza ameanzisha operation ya kuwasaka wote wasio na Leseni Hadi nyakati za usiku.
Ikumbukwe kuwa ,wapo wafanyabiashara wa kipato Cha chini wasio na uwezo wa...
Jina lake halisi anaitwa GAHAI WARIOBA MAPENGO.
Ana vitambulisho feki na majina feki na namba nyingi za simu. Baadhi ya majina anayotumia ni HERI SWAI.
Ana timu kubwa ya utapeli kila Kona ya mji, ikiwa na WAZEE, vijana na wanawake na mabibi.
Maeneo yote ya Kisesa Igudija, Nyashishi, Ilemela...
Nianze kwa kusema ukweli kwamba Waziri Juma Aweso, Anafanya kazi kubwa ya kuhakikisha kwamba Tanzania tatizo la maji linakwisha lakini naamini watendaji wake ndio wanaomkwamisha.
Ni miezi mitatu sasa Jiji la Mwanza lililozungukwa na Ziwa Kubwa barani Afrika Wakazi wake tunakosa maji wakati ziwa...
Miongoni mwa Mikoa ambayo nimewahi kutembelea nchini Tanzania ni Mkoa wa Mwanza 'rock city' ambao umebarikiwa vitu vingi vizuri; Ziwa Victoria lenye samaki pendwa na watamu aina ya Sato na Sangara lakini mbali na Ziwa Victoria, Mkoa wa Mwanza pia umebarikiwa miamba na mawe makubwa (rocks) yenye...
Rais Samia akizungumza na Wakazi wa Jiji la Mwanza baada ya kuwasili kwa Ziara ya Kikazi leo Juni 12, 2023.
Akitoa Salamu kwa Wananchi wa Jiji la Mwanza waliojitokeza kwenye uwanja wa Ndege kumpokea, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ni Nchi...
Ifike Mahali viongozi wa Tanzania na hasa Mamlaka ya Uteuzi ijaribu kuwaheshimu Wananchi wake , hata kama ni Wajinga, duni ama Mbumbumbu.
Uteuzi wa Kagurumujuli, kada wa CCM aliyesababisha mauaji ya kijinga ya Akwilina alipokuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, akishirikiana na Lazaro...
Naomba nimuombe Rais ikimpendeza afanye mabadiliko makubwa kwa Jiji la Mwanza. Mwanza ni jiji lakini miundombinu yake haina hadhi ya JIJI lolote duniani.
Barabara za mitaa ni tope, makorongo, mtandao wa Lami za mitaa Mwanza ina zidiwa na Manispaa nyingi Tz. Main Roads zipo chini ya Kiwango cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.