Meya ni neno linalotokana na neno la Kiingereza “Mayor”, ni cheo kinachotumika nchi nyingi duniani; hii ni nafasi ya juu kabisa katika halmashauri ya mji, manispaa au jiji.
Kwa mujibu wa “Wikipedia” ya Dar es alaam, Dar es Salaam ni jiji kubwa kuliko yote nchini Tanzania, na mji mkongwe na...