Jiko ni jipya nimelitumia mizi2 tu.. na mtungi una gesi kidogo ya kuanzia.
Ni dharura (nasafri mkoani kwa dharura) naomba elf70 tu! Kama upo serious hata ukipungukiwa kidogo ilimradi initoshe nauli nayohitaji!
Whatsapp/piga 0784355775 - nipo MADALE MWISHO- DAR ES SALAAM)
Jiko ni jipya nimelitumia mizi2 tu.. na mtungi una gesi kidogo ya kuanzia.
Ni dharura (nasafri mkoani kwa dharura) naomba elf70 tu! Kama upo serious hata ukipungukiwa kidogo ilimradi initoshe nauli nayohitaji!
Whatsapp/piga 0685308583 - nipo MADALE MWISHO- DAR ES SALAAM)
Oven la kisasa lenye jiko la gas na mtungi wa gas orxy vinauzwa kwa haraka mno .... pesa ya haraka inahitajika.. Dukani hilo jiko ni 560,000/= cc tunauza 380,000 tu
Hakuna haja ya kununua bisi. Ni gharama ndogo sana kuzipika nyumbani kwa kutumia jiko la gesi.
Nunua mahindi ya popcorn. Kilo inauzwa 4,000 na ndonya 1,500.
Tenga sufuria kubwa kubwa jikoni. Weka mafuta. Pasha mafuta hadi yaive. Yakiiva punguza moto uwe mdogo kabisa na weka popcorn zako ndani...
Hili ni zuri sana, haikulazimishi kulipia mtungi mzima kwa Sh 23000 au Sh 58000. Kwa Sh 1000 yako tuu (buku) unanunua sehemu ya gesi iliyo kwenye mtungi na kupikia. Achana na zile gesi ikiisha unatelekeza mtungi na kurudi kwenye mkaa au kulazimika kutibua bajeti yako uliyojiwekea.
Unalipia...
Wadau samahani,
Nauliza ni jiko lipi la gesi ambalo kioo chake hakivunjiki na kuchoma gesi vizuri. Nauliza hili because jiko langu nililonunua mwaka jana limevunjika kioo hivi karibuni na kidogo tujifiche chini ya uvungu kwa kuzani ni majambazi ya Vikindu yamehakia nyumbani kwangu, kwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.