Mkazi wa kijiji cha Busanda kata ya Busanda wilayani Geita Unice Kulwa(25) na wanawe wawili wamepoteza maisha baada ya kukosa hewa kutokana na kuingiza jiko la mkaa alilokuwa akipikia maharage kwenye nyumba waliyolala.
Mbali na vifo hivyo pia baba wa familia hiyo Kulwa Kamili amenusurika kifo...