Mpe kijembe hiki ex wako au kibaraka yoyote
Jiko La Shamba
Kwangu huwezi kutamba, nimekutoa thamani
Ewe mnukia vumba, hufai kuwa jikoni
Bado unao ushamba, mapishiyo ya nyikani
Wewe ni jiko la shamba, halipikii mjini
Makozi na karatasi, kwako wewe zote kuni
Hujui venye mikosi, vyote watia...