Hivi vinafaa zaidi kwa watoto, sehemu za jumuiya ama kwa wapenda ng'areng'are.. Usukumani hivi utauza sana (joke)😂
Kama si mpenzi wa rangirangi hivi havikufai kabisa.. Vipite kama huvioni😂
▶️DONDOO ZA JIKONI:-
1🧂Ukiandaa nyama kwa viungo kama tangawizi, thomu na masala ongeza mafuta kidogo na mtindi vijiko viwili utafurahi.
2🧂Ukikosa vanilla unaweza saga ganda la limao bichi linaleta harufu nzuri kwenye keki na chapati za maji.
3🧂Ukipika mboga ya karanga tumia maziwa kukorogea...
Evening!!! Nahitaji kuchonga kabati la jikoni fundi wangu anashindwa kufanya vipimo vyake kwasababu ya hiki kitu"ovena iliyounganika na jiko Ina vipimo gani Yani urefu na upana!!" Msaada tafadhari naambatanisha na picha.Asante
Nimekuwa nikisikia wasanii wanasifia sana kufanyia jikoni au varandani. Sasa huko sijui kuna nini ambacho kitandani hakuwezekani. Naomba majobu mliofanyia jikoni
Serikali ya Taliban Nchini Afghanistan imetoa agizo jipya ikipiga marufuku ujenzi wa madirisha kwenye majengo ya makazi yanayoweza kuangalia maeneo yanayotumiwa na Wanawake, kama jikoni na visima vya maji vya kijamii ambapo Kulingana na taarifa yao hatua hiyo inalenga kuzuia kile wanachokiita...
Uzi huu hauna maana kuharibu biashara ya mtu yoyote.
Kwa sasa biashara ni ushindani haiwezekani kuna shida tubung'ae kama mazombi.
Kinyerezi imefunguliwa casino. Lazima mfanyabiashara uwe na customer servece nzuri. Hawa mabintinwa safari pub Kinyerezi mwisho upande wa jikoni hawafai kuwepo...
Tangazo la Kazi - Jiunge na Timu ya WhyNot In Lounge and Kitchen!
Tunakukaribisha kujiunga na timu yetu yenye ari na ubunifu hapa WhyNot In Lounge and Kitchen, iliyopo Goba, Dar es Salaam. Tunatafuta watu wenye vipaji na uzoefu kwa nafasi zifuatazo:
📌 Mpishi Msaidizi
📌 Bartender/Counter Staff...
Ukiwa jikoni halafu ukawa unapendwa sana na ukawa mshikaji wake unasogezewa mwiko unaambiwa onja chumvi kama iko sawa💕😀
Mpe kampani huko jikoni mkipiga stori za hapa na pale. Wanawake wanapenda sana ila sisi wanaume huwa tunaona kukaa jikoni na mkeo ni ugai gai ila ni moja ya kitu bora sana kwao
Huko mitandaoni, Mbunge wa Mbeya Mjini, kuna video inamuonesha Tulia Acskon akiwa jikoni anapika ambapo alikuwa anatumia nishati safi aina ya mtungi wa gesi.
Tulia anaonekana akiwa kwenye nyumba chakavu anapika huku akiwa anasiia namna ambavyo nishati safi inarahisisha shughuli yake ya kupika...
Habari zenu wakuu, nimekabidhi kazi kama inavyoonekana hapo.
Ni kabati za jikoni, hapo bado finishing tu ila kazi yangu nimemaliza.
Pia napiga plasta, kujenga, na ramani nachora pia kulingana na eneo lako. mengine kama hayo kwa bei nafuu.
kama unahitaji nicheki nikujengee 0624254690
NB...
Habari wanaJF,
Ni mimi tena, na natumaini kuwa upo vizuri unaposoma maneno haya. Leo imekuwa siku ya Idd kwa ndugu zangu waislamu, na wasabato fulani wapo kwenye msimu wa makambi. Yote mema....
Ee bwana, juzi kati nilizungumzia kozi yangu ya Upwork nitakayoitafsiri kwa ajili ya kusaidia...
Wakuu, hapa getho kwangu Kuna nyuki wamevamia toka majuzi,, wananifanya nisiishi kwa raha,, mama watoto wangu anashindwa kukaanga vizuri hapa kwa sababu ya hawa nyuki.
Naomba mnipe dawa au namna ya kuwaondoa hawa nyuki.
Kama Kuna dawa za kupulizia ili wasepe hapa jikoni kwangu nipeni maujuzi wadau
Uzi wa mapishi umedoda jamani watu sijui tupo kwenye mifungo mikavu, rudini kundini tuanzae madigo diko mapya. Mtag mwana mapishi wako pendwa umualike arudi uzini tushee mapishi mapya na kukumbusha ya zamani pia. Kuna lishe za afya na za watoto pia ni vyema tunaukaza uzi wa mekoni.
Wakuu njooni, kuna mtu hapendi kuishi nyumba safi nzuri na salama?
Nyumba ni nyumba hata iwe chumba cha kupanga. Binafsi huwa naandaa home tips zinazogusa nje na ndani ya nyumba, sittingroom, kitchen area, Washrooms/Maliwato, bedroom. Basi karibuni nitakuwa naziweka hapa pia kama unayo unaweza...
Heshima zenu wakuu.😊
Habari za wakati huu
Karibuni Dollrubii_Decors
SIsi ni wauzaji wa HomeDecors kwa bei nafuu zaidi kuliko wote nchini karibu ujione.
KWA MAHITAJI YA
♦️FURNITURE
♦️ MAUA NA MAPAMBO YA NDANI
♦️PAZIA
♦️KITCHENWARE
TUNATUMA MIKOA YOTE🇹🇿
WHTAP|📞 0699306065
FREE DELIVERY DAR...
Huenda kuna Mtu ama Watanzania tukaenda nae pamoja Kuhamia nchini Burundi na Basi la Esther au tukajikita zaidi na Kilimo cha Mafuta ya Alizeti au Kufuga Kuku Mkoani Singida.
Mko poa?
Salaam,
Jikoni kuna wakati yanatukia matukio jikoni wakati unapika mpaka unatamani unashangaa, mwenzenu nilimwaga mboga wakati napika ugenini kisa kapita panya na sikuwa najua kama nyumba ina panya.
Nimeaza kupika ile naipuka mboga Panya kakatiza nikaona mkia tu nikadhani nyoka...
Kijana Elvis Shoo (27) mkazi wa kitongoji cha Bogini Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, amelazwa katika kituo cha Afya Pasua akiuguza majeraha ya moto, yaliyotokana na kuunguzwa kwa uji na shangazi yake akidaiwa kuiba maharage jikoni.
Tukio hilo ambalo linadaiwa kutokea Septemba 30 mwaka huu...
Kuna nyumba nyingi sana nilizowahi kutembelea, unakuta unakaribishwa ndani kwa kupitia mlango wa jikoni, na ule wa sebuleni unakuta haujawahi kutumika tangu nyumba ijengwe.
Hii husababishwa na nini, chanzo au lengo la tabia hii, ni nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.