jikoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Ni sahihi kwa Mwanaume aliyeoa kupika?

    Jamani tuacheni masihara. Kama kuitwa mshamba bora mimi niwe hivyo. Hivi inakuwaje mwanaume unamkuta yuko jikoni anahangaika kupika au kufua au hata kupiga deki? Si tulikubaliana Kazi ya Mwanaume ni kutafuta pesa, kulisha familia, kusomesha watoto na kutoa ulinzi kwa familia na jamii...
  2. Nachukia wanaume wanaopenda kuja kuja jikoni

    Yaani utakuta mwanamke unapika kidogo tu mwanaume anafika jikoni kuangalia angalia kama msosi tayari sipendi aina hii ya wanaume aisee kwani ukikaa kusubiri chakula uko jikoni hakiivi na kama ana ujuzi na kile unachopika anaanza na kukuelekeza juu au anafika anafunua funua ulivyopika. Yaani...
  3. Meza ya kulia chakula inapendeza jikoni au kwenye mgahawa

    Meza ya kulia jikoni inafaa kwa matumizi ya familia ya kila siku, kama nyumba ni kubwa main dining inaweza kutumika kama watu ni wengi au kuna special event.
  4. HILI OVEN UNALIHITAJI JIKONI KWAKO.

    Maoven yanaouzika sana Dsm sasa yamepungua bei Bei-155,000Tsh tu *Linatumia umeme kiduchu *Linaoka mikate,cake na choma kuku na vinginevyo *Pia unaweza ukapasha chakula chako *Lina ujazo wa 48L pia ni rahisi kulitumia Call/Whatsapp 0753038470 Tupo kkoo mtaa wa ndanda Nunua leo
  5. M

    Chukueni hii kwani ni ya Moto Moto bado na nimeipata kutoka ndani (jikoni) Kwao kabisa

    Ukiwa na Marafiki ( Maswahiba ) wengi ndani ya Kambi ya Maadui zako wakubwa ni Raha sana. Haya Taarifa iwafikie kuwa huko Baharini Kambini Kumeshakucha na kuna Mtu hatakiwi tena. Baada ya kuona hatakiwi huku wengine Wakimsusa na hana kwa Kwenda sasa analazimisha Kukubalika na Oya Oya wengi...
  6. Haji Manara msimfikishe jikoni Yanga, anaweza kurudi Simba kuunga mkono juhudi

    Adui yako namba moja ni mtu wako wa karibu. Haji alivyokuja Yanga ndiyo atakavyoondoka Yanga. Kama mnadhani Yanga mna siri nyeti ambazo ni mwiko kufahamika kwa Simba na public basi ziwekeni mbali nae kwanza. Vinginevyo lazima mumlee Haji kama yai, msimkorofishe hata siku moja, vinginevyo iko...
  7. Video: Mwenye kuweza ategue Kitendawili cha Rais Samia

    Mwenye kuweza kukitegua akitegue...
  8. Z

    Hanipakulii chakula anataka niende jikoni mwenyewe lakini shemeji yake anamjali

    Mke wangu kaanza tabia nikitoka kazini ananiambia nikajipakulie jikoni. Muda huo anamjali sana mdogo wangu wa kiume kiasi hata wakati mwingine anasema chakula kimeisha nikienda kumpa hi mdogo wangu nakuta msosi wa kutosha.
  9. Nimekuta vitu kama dawa za kishirikina jikoni kwa mchepuko wangu

    Umeamua kwa hiyari yako kuwa na mtu, unajua na yeye ana mzazi mwenzie na watoto, umekubali kabisaa Ya nini haya sasa jamani? Siamini kama huyu mchepuko misosi yake yoteee anayonipikia, mpaka namwambia hata mama yangu hajawahi kupika namna hii kumbe ni Dawa. Leo nililala kwake, yeye kaamuka...
  10. Kwanini kwenye nyumba zetu mlango ya jikoni ndiyo inatumika

    Nime experience hii nyumba zetu nyingi sana huwa milango ya jikoni ndiyo inatumika watu kuingilia. Ni nadra sana front doors ikatumika. Sababu ni nini?
  11. M

    INAUZWA Vifaa/vyombo mbalimbali vya cake na jikoni

    Habarini wakuu,ukurasa huu nitaweka bidhaa mbalimbali ninazoziuza sana sana za cake na vyombo vya jikoni. Mawasiliano yangu ni 0746685756 Nita update kila mara vinapoingia. Tunafanya delivery na mkoani tunatuma. Karibuni sana
  12. Njia hizi zitakurahisishia usafi jikoni na kuweka jiko lako safi bila bacteria

    Njia hizi zitakurahisishia usafi jikoni na kuweka jiko lako safi bila bacteria 1. Tumia chumvi na ndim kusafisha ubao wa mbao wa kukatia vitu jikoni. Mwagia chumvi kwenye ubao halafu sugua na ndimu. 2. Safisha tray zako za kuchoma kwenye oven kwa kuchanganya nusu kikombe maji na nusu kikombe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…