Mishangazi na mijimama ina raha yake. Je, kuna umri siyo poa kupeana ujauzito?
Kuna huyu kijana mcheza basketball ana miaka 22 ana uhusiano na amemzalisha mshangazi wa miaka 40.
Vipi ingekutokea wewe, ungeelewekaje huko kwenu?
Na kalaga baho
Wazee toka nije paje nimevutiwa sana na maisha ya ubichi boi, imenipa ari na nguvu ya kuongeza siksi paki na kushinda na vibukta bichi. Hapa nina mpango nifuge na rasta kabisa
Katika pitapita zangu nikakutana na jimama flani hiv "age go" yqni linakula pensheni za pesa hapa...
Wadau nawasalimu tena kwa mara nyingine. Najua mpo fresh na mambo yanatembea hata kama ni kigumu.
Leo nimeona niwape mkasa ambao nimeuhifadhi kwa muda mrefu kidogo nikiwa nasubiri nipate uhakika wa afya yangu kama nipo salama au nimepata BOKO haramu.
Ipo hivi, Miaka ya nyuma kidogo kipindi...
Nina umri wa miaka 29, tangu nimalize chuo miaka mitano nyuma sijapata kazi, nikajiegesha kwa maza mmoja anafanya kazi benki kuu, anaishi maghorofa ya Mbezi Beach, aisee najuta, simu yangu iko tracked muda wote. Ikifika tu muda wake wa kutoka anataka niwepo getini kwake namngoja, baada ya hapo...
Poleni na majukumu,
Umri wangu ni miaka 32, hapo nyuma nikiwa na miaka 27 nilibahatika kuwa na mahusiano na mwanamke anayenizidi umri kwa miaka 7,ana mtoto mmoja ana kazi yake hivyo alikuwa akinipa vihela vidogovidogo na ndicho nilichompendea.
Nilipofika miaka 28 nikaanza kupata ushawishi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.