Wananchi wa Jimbo la Bumbuli mkoani Tanga, linaloongozwa na Mbunge Januari Makamba, wameeleza shukrani zao kwa Serikali kwa kuwafikishia miradi mbalimbali ya maendeleo kupitia mbunge wao, ikiwemo huduma za umeme, maji, na ujenzi wa zahanati.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wananchi hao...