MWENYEKITI WA CCM MKOA WA TABORA AHITIMISHA ZIARA JIMBO LA IGUNGA KWA KISHINDO
Asisitiza ujenzi imara wa Chama
Asema Mikakati ya kujenga vitega uchumi na Kukuza mapato ya Chama ni mfano wa kuigwa
Atoa Shukrani kwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kutoa Fedha nyingi za Miradi ya Maendeleo na kugusa...
JITIHADA ZA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA JIMBO LA IGUNGA
"... Tumekamilisha ujenzi wa Wodi ya Wagonjwa Mahututi (ICU) yenye uwezo wa kuhudumia Wagonjwa mahututi kumi kwa wakati mmoja, Tumekamilisha ujenzi wa Wodi ya Mama na Mtoto yenye uwezo wa kuhudumia kina Mama na Watoto hamsini kwa wakati...
Mbunge Nicholaus Ngassa Aeleza Jinsi Jimbo la Igunga Linanufaika na Bajeti ya Wizara ya Kilimo
Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa Akimpongeza Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Mohammed Bashe baada ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitisha Bajeti ya Wizara ya Kilimo...
MBUNGE NGASSA: "HAKUNA KATA AMBAYO HAIJAPATA MRADI WA MAENDELEO"
"... Ilani ya Chama (CCM) inatekelezwa kwa ufasaha ndugu zangu, Chini ya uongozi wa Mama Yetu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..."
"... Jimbo letu lina Kata Kumi na Sita...
π Mtungulu, Igunga
Msafara wa Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa ukiwa umesimama kwenye Daraja la Mto Mtungulu huku Wajumbe wa msafara wakicheza kwa furaha baada ya kuona ujenzi wa daraja umekamilika kwenye Mto uliokuwa ukisumbua Wananchi kuvuka kutoka upande mmoja kwenye...
π Igunga, Tabora
βοΈ MBUNGE NGASSA KUANZA ZIARA JIMBONI
βοΈ KUHUTUBIA MIKUTANO SITINI (60)
βοΈ KUFANYA ZIARA KATA KUMI (10), VIJIJI THELATHINI (30)
Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa, anaanza ziara ya Kikazi Jimboni kwa ajili ya kutoa mrejesho wa Bunge la Bajeti kwa...
IGUNGA: "TUMEAMUA KUACHANA NA VIKAO VYA CHINI YA MITI NA KWENYE STOO ZA PAMBA".
Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe Nicholaus George Ngassa ameendelea na Ziara ya Kikazi Jimboni, Ziara inayoambatana na zoezi la ujenzi wa Ofisi za Kata za Chama cha Mapinduzi (CCM). Akiongea na Wanachama wa CCM Kata ya...
Igunga, Tabora
Habari Picha: Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa akisalimiana na Wakazi wa Kitongoji cha Mhama Mmoja Kijiji cha Itumba akiwa siku ya Pili ya Ziara ya Kikazi Jimboni.
Baada ya Ziara ya Kikazi, Mheshimiwa Ngassa (MB) amekutana na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya...
π Igunga, Tabora
ZIARA YA MBUNGE JIMBONI
Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa atafanya Ziara ya Kikazi ya Siku Tatu Jimboni Igunga kuanzia tarehe 19 Mei, 2023 kwa ajili ya;
1. Kukagua Maendeleo ya Utekekelezaji wa Mradi wa Umeme Vijijini Jimbo la Igunga (Rural...
Tukielekea kilele cha miaka miwili ya Rais Samia Suluhu Madarakani amefanikiwa kufungua mikutano ya hadhara kwa vyama vya upinzani maana walikua wakitamani kwa muda mrefu sana na watanzania tulijiandaa kusikia ajenda nyingi walizokua wameanda kwa zaidi ya miaka 5 lakini mambo yamekua tofauti...
MBUNGE NICHOLAUS NGASSA: "MKANDARASI ZINGATIA RATIBA YA UTEKELEZAJI WA MRADI" - JIMBO LA IGUNGA
Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa, amemtaka Mkandarasi wa Mradi wa Usambazaji wa Maji ya Ziwa Victoria kwenye Vijiji vya Kata za Mwamashiga, Mbutu, Isakamaliwa, Kining'inila...