MBUNGE JULIANA MASABURI AWASHIKA MKONO UVCCM WILAYA YA ILALA UJENZI NYUMBA YA MTUMISHI
Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa (Anayetokea Mkoa wa Mara) Mhe. Juliana Didas Masaburi tarehe 03 Agosti, 2024 alikuwa mgeni rasmi katika ufungaji wa Baraza la UVCCM Wilaya ya Ilala Mkoani Dar es Salaam...