jimbo la iringa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LGE2024 Afisa Uchaguzi Jimbo la Iringa Mjini: Hatuna Taarifa rasmi ya CHADEMA kususia Uchaguzi

    Afisa uchaguzi jimbo la Iringa mjini, Bernard Mwaituka, akitolea ufafanuzi kwa njia ya simu kupitia kipindi cha Kiyoyozi cha Nuru FM juu ya madai yaliyotolewa na CHADEMA kuhusu hujuma zilizojitokeza katika suala zima la upigaji kura uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana 27 Novemba 2024...
  2. Pongezi Baba Msombe kaimu Askofu Jimbo la Iringa

    Tumsifu Yesu Kristo wapendwa katika Kristu ninayo furaha kubwa kuchukua nafasi hii kama Mwanaparokia Mzawa wa Ipogolo kukupongeza kwa Baraka za maono yaliyopelekea kupata uongozi wa juu kabisa katika jimbo letu la Iringa itoshe Kusema Mungu azidi kukutia nguvu uzidi kutusimamia kiroho hasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…