jimbo la kisesa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Luhaga Mpina ataka Bunge lipitishe sheria ya kunyonga mafisadi na wezi wa fedha za umma

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa, mkoani Simiyu, Luhaga Mpina, ameiomba Serikali kupitia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuridhia na kupitisha sheria kali, ikiwemo adhabu ya kunyongwa kwa mtu yeyote atakayebainika kufanya ubadhilifu wa mali za umma. Akizungumza katika mkutano wa hadhara...
  2. Q

    Mwenyekiti wa Machifu: Tumekuja kutoa taarifa Bungeni kwamba Mbunge wetu Mpina hayuko peke yake

    Chief Kisendi Josephat Nkingwa ambaye ni Mwenyekiti wa Machifu wa Usukumani, ameyasema hayo wakati akiwa katika viunga vya Bunge ambapo aliambatana na Machifu wengine, pamoja na Mapadri kutembelea Bunge na kumuunga mkono Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina baada ya kumaliza kutumikia adhabu ya...
  3. Tlaatlaah

    Kwa siasa anazofanya Mh. Luhaga Mpina kwa sasa, ni kuwaandaa kisaikolojia wananchi wa jimbo la Kisesa kwa ajili ya chama kipya au kuhama nao upinzani

    Friends, ladies and gentlemen.. Uelekeo wa kisiasa na mienendo ya siasa za mh.Lugaga Mpina mbunge wa jimbo la kisesa, inatiashaka na imebeba ujumbe mzito sana wa kisiasa nyuma ya pazia hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu 2025... Kwanza anatumia nguvu nyingi na kubwa mno kujieleza kwa...
  4. S

    Kwenye mkutano wa Waziri Hussein Bashe leo kwenye Jimbo la Kisesa, wajumbe wajipanga kushikiniza kulipwa posho yao ya laki moja waliyoahidiwa

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe leo anafanya mkutano wa hadhara katika Jimbo la Kisesa mkutano unaotajwa kusubiriwa na hamu kubwa hasa baada ya kutangaza kuwanyima huduma za pembejeo za kilimo kama wananchi hao wataendelea kuungana na mbunge wao Luhaga Mpina kuwa kulaumu wakulima kuuziwa dawa...
  5. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Luhaga Mpina: Chama Cha Mapinduzi hakiwezi kunifukuza, mimi ni jembe

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Mpina atamba kwa kusema Chama Cha Mapinduzi hakiwezi kumfukuza. "Yani mimi ni fukuzwe kwa kuwasema hadharani wezi, mimi nifukuzwe kwa kukataa Wananchi kudhulumiwa. Mimi nilikataa Wananchi kudhulumiwa" Luhaga Mpina. Soma Pia: Mpina: Mzee Kikwete Mwaka 2012...
  6. Mkalukungone mwamba

    Luhaga Mpina: Wafanyabiashara kudaiwa kodi kubwa kuliko biashara zao inatoka na usimamizi mbaya wa ukusanyaji wa kodi

    Luhaga Mpina anaunguruma muda huu Sakasaka Jimbo kwake Kisesa Updates...... Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Mpina amendelea kufanya ziara katika jimbo lake hilo kusikiliza kero za wananchi leo kata ya Sakasaka. Mbunge Mpina amewataka wananchi wa Jimbo la Kisesa kuchukua hatua ili kujikinga na...
  7. Tlaatlaah

    Kwa hali ilivyo, unamshauri nini Luhaga Mpina mbunge wa Jimbo la Kisesa CCM?

    kama mdau wa siasa, harakati na demokrasia nchini, ni upi ushauri wako muafaka kwa kiongozi huyo wa kisiasa, kulingana na joto na uelekeo wa siasa za Tanzania, kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu2024, na ule uchaguzi mkuu wa mwaka ujao 2025? afanye nini, aamue nini, na...
  8. SULEIMAN ABEID

    Luhaga Mpina ataka maeneo ya kiuchumi yatungiwe sheria

    Mheshimiwa Spika, Maeneo mengi muhimu ya kijamii na kiuchumi kutotungiwa Sheria mahsusi na badala yake kutumika matamko ya baadhi ya viongozi na watendaji wa Serikali (a) Mheshimiwa Spika, Biashara za Machinga, Bodaboda, Mama Ntilie, Wauza mbogamboga kundi hili liko kwenye hekaheka kila leo...
  9. SULEIMAN ABEID

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina aomba barabara za Jimbo lake zipandishwe hadhi

    MBUNGE wa Jimbo la Kisesa, Mhe. Luhaga Joelson Mpina amehoji bungeni kuwa ni lini Serikali itaipandisha hadhi barabara ya kutoka Bariadi – Mwaukoli - Mwandu Itinje – Itinje – Kabondo -Mwabuzo hadi Igunga kuwa ya Mkoa baada ya TARURA kushindwa kuihudumia kutokana na ufinyu wa bajeti. Akiuliza...
Back
Top Bottom