jimbo la kiwani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Uwakilishi Jimbo la Kiwani (CCM) Hemed Suleiman: Sisi tunafanya mambo ya maana wao wanabeza

    Mgombea Uwakilishi Jimbo la Kiwani (CCM) Hemed Suleiman Abdulla amewaonya wanaomfuatafuata jimboni kwake kwenda kuwashawishi wananchi wake wakatae maendeleo ikiwemo magorofa. Hemed ametoa onyo hilo wakati akizungumza na wananchi katika muendelezo wa mikutano yake ya kuomba kura kuomba katika...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Hemed: Kijana yeyote atakayetoka jimbo la Kiwani, atakapokwenda kusoma kokote duniani, tutamfuatilia

    Mgombea Uwakilishi wa Jimbo la Kiwani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amesema ataendelea kusimamia kwa karibu maendeleo ya vijana wa jimbo hilo, hasa katika...
  3. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hemed : Hao wanaosimama kuwatukana Kiongozi mbona wao hawatoki wamo kwenye serikali hiyohiyo, CCM itashinda na Rais ataapishwa

    Mgombea Ubunge Jimbo la Kiwani kupitia Chama cha Mapinduzi, Hemed Suleiman Abdulla akizungumza na wananchi katika Mkutano wa ufunguzi wa Kampeni za CCM ndani ya Jimbo la Kiwani uliofanyika katika Uwanja wa Kwareni Muwambe, Wilaya ya Mkoani Pemba, amewaomba wananchi kumpa kura ili aweze...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…