Ndugu wana-Jamvi Wakati Vuguvugu la Uchaguzi linazidi kupanda kuelekea mwakani 2025, wabunge matumbo joto kila kona na tayari sarakasi zimeanza. Wilaya ya Mufindi imekuwa kwenye dawati kwanza kuonja joto la jiwe.
Mnamo tarehe 6 Juni, Kundi la Vijana kutoka Jimbo la Mafinga Mji wakiongozwa na...