jimbo la mbeya mjini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Pre GE2025 Halmashauri ya Jiji la Mbeya imependekeza kuanza mchakato wa kuligawa jimbo la Mbeya mjini kupata jimbo jipya la Uyole

    Wakuu Halmashauri ya Jiji la Mbeya imependekeza kuanza mchakato wa kuchunguza na kuligawa Jimbo la Mbeya Mjini kupata jimbo jipya la Uyole, katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, 2025. Jimbo hilo kwa sasa linaongozwa na Dk Tulia Ackson ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  2. J

    Pre GE2025 Sugu apumua, Lucas Mwashambwa hatagombea Ubunge Jimbo la Mbeya mjini aamua kumwachia Dr Tulia aendelee kuleta Maendeleo!

    Palikuwepo wasiwasi Kwamba Mwanasiasa Maarufu Kanda ya Nyasa Lucas Mwashambwa atachukua form za kugombea Ubunge Jimbo la Mbeya mjini. Uvumi huo ulimfanya mbunge wa zamani Joseph Mbilinyi (Sugu) Kupata mchecheto kwani anamuhofia Zaidi Lucas kuliko Dr Tulia. Hata hivyo Lucas amesema yeye hana...
  3. and 300

    Pre GE2025 Spika Tulia ana wakati mgumu jimboni Mbeya (M) mwakani

    Spika Vs Kanjunjumele kule Sugu kwenye kinyang'anyiro cha ubunge Jimbo la Ubunge Mbeya (M) 2025. Patawaka
  4. J

    Pre GE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu) atagombea Ubunge Mbeya mjini au Katiba ya CHADEMA hairuhusu Vyeo viwili?

    Nauliza tu maana Siasa za Mbeya mjini zinazidi Kuwa Ngumu Katiba ya Chadema inazungumziaje Kofia mbili? Ahsanteni in advance 😀
  5. Dalton elijah

    Kwanini Dkt. Tulia anataka jimbo la Mbeya Mjini ligawanywe mara mbili?

    Mhe. Sophia Mwakagenda ameuliza swali la nyongeza Bungeni kutaka kujua ni lini Serikali italifanyia kazi suala la kugawa Jimbo la Mbeya Mjini kwa sababu ya ukubwa wa Jimbo hilo na wingi wa watu. Ombi la kugawanywa Jimbo la Mbeya Mjini lilitolewa na Mbunge wa Jimbo hilo ambaye pia ni Spika wa...
  6. Victoire

    Alichopost Spika Tulia Ackson baada ya hoja yake kuhusu kugawanywa jimbo la Mbeya Mjini

    Huyu ndo Speaker/Rais wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ila nimeamini viongozi wetu ndo reflection ya wananchi. Speaker yupo hivi, wananchi je? Zaidi, soma: Spika Dkt. Tulia aomba jimbo la Mbeya Mjini kugawanywa
  7. L

    Itakuwa ni uwendawazimu na ukichaa kwa wana Mbeya kumtoa Dkt. Tulia jimbo la Mbeya Mjini

    Ndugu zangu watanzania, Naifahamu Mbeya ,Nawafahamu Wana Mbeya ,Nimekaa na kuishi Mbeya,Nimesoma Mbeya,Naendelea kwenda Mara kwa Mara Mbeya,Nazifahamu siasa za Wana Mbeya,Nafahamu Fikira za wanambeya,Nafahamu misimamo ya wanambeya,Nafahamu Tabia za wanambeya,Nazifahamu kero za Wana...
  8. Mmawia

    Kwaheri Tulia, karibu sana Sugu jimboni Mbeya

    Kufuatia shughuli za siasa kuruhusiwa rasmi nchini sasa rasmi sisi wana Mbeya tumeshamuaga Tulia na kumkaribisha mh Sugu. Namaanisha kuwa tulipatiwa mbunge ambaye halikuwa chaguo letu sisi wana Mbeya. Sasa wakati umefika wa wana Mbeya kuonyesha hasira zetu kwa kumchagua mbunge ambaye atakuwa...
Back
Top Bottom