Mbunge wa Jimbo la Momba Condester Sichalwe ametoa wito kwa Taasisi za kifedha Mkoani Songwe kutumia Takwimu za Sensa kutoa mikopo kwa wakulima.
Ametoa wito huo katika Kongamano maalum lililofanyika Wilayani Momba Mkoani Songwe la kuwawezesha kiuchumi wakulima ambapo amesema Taasisi za kifedha...