ZIARA YA ya MAKAMU WA RAIS MKOANI KIGOMA - Mkutano wa Hadhara Kata ya Makere, Muhambwe
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe, Mhe. Dkt. Florence Samizi amesema kuwa Jimbo la Muhambwe linaongoza kwa uzalishaji wa Mihogo lakini kwasasa kuna potoki la bei ya Mhogo
Mhe. Dkt. Florence Samizi amesema kuwa...