Wakuu,
Kamati ya Ushauri ya Wilaya Missenyi mkoani Kagera (DCC), imepitisha azimio la kubadili jina la Jimbo la Uchaguzi la Nkenge na kuitwa Jimbo la Missenyi, ili kuleta muunganiko wa kiutawala.
Kikao cha kamati hiyo kilichofanyika jana, Jumanne, Machi 11, 2025 kilichoongozwa na Mkuu wa...