Katibu wa CHADEMA kanda ya Kusini , Governor Kaduma na kikosi kaI chake wameendelea kusambaza elimu ya Katiba Mpya ndani ya kanda hiyo .
Hapa ni jimbo la Nyasa , hili ni eneo ambalo miaka ya nyuma wakazi wake waliamini kwamba ukiondoka ccm unakufa , lakini baada ya Chadema kuendelea...