Wakuu Habari zenu?
Maana ya neno Killer ki Hebrew ni "Rotzach" na "southern." ni Dromi" kwa Pamoja ikimaanisha "destroyer of the south."
Kwenye mpira wa miguu kumekuwa na nickname kwenye majina ya timu mfano Liverpool wanaitwa The Reds (Liverpool) wakirifaa hiyo red jerseys yao. Manchester...